Dalali kweli lakini rage hakuwa na jipyaSimba ilianza kuisha wakati wa Rage jamani mzee Dalali yupo wapi?rudi kuifufua Simba
ni kweli rage ndio alianza kuharibu sima alikuta timu nzuri akaanza kuuza wachezaji bila kutafuta mbadala wao akaja na mambo yake ya kujivua gamba sasa hivi ameshindwa siasa anaanza mipango ya kurudi simba kwa mlango wa nyuma yondani aliondoka kipindi chake alishindwa kumsajili mbuyi twite kwa kifupi hana kituSimba ilianza kuisha wakati wa Rage jamani mzee Dalali yupo wapi?rudi kuifufua Simba