Rafu ya Haruna Moshi hiyo

Transfer za Nonda kwenda timu zingine hizo hapo chini, mbona hatuoni transfer yoyote ya kutoka Yanga hamkuruhusu au alitoroka au mkataba uliisha, kwa nini yanga haijatajwa?

View attachment Nonda.doc
 
Transfer za Nonda kwenda timu zingine hizo hapo chini, mbona hatuoni transfer yoyote ya kutoka Yanga hamkuruhusu au alitoroka au mkataba uliisha, kwa nini yanga haijatajwa?

View attachment 67442

Mkuu embu soma na hapa Shabani Nonda - Wikipedia, the free encyclopedia uone Jembe lilianzia wapi Carreer yake....unajua Mkuu ni vizuri kama unaning'ininza vielelezo ukaning'iniza vyote usifanye nusunusu Mkuu,kumbuka miaka ile ya 90's mfumo wa Club za zamani kunufaika na development za wacheaji wao ulikuwa siyo sana na ndo maana Yanga ikaishia kubaki kwenye record za Mshikaji tu bila kunufaika chochote
 
Hiyo nimeiona lakini inaonyesha ni Youth career, swali langu ni kwamba kwa nini transfer haijazungumziwa, tunachosema sisi sio kwamba hakuna wachezaji waliotoka yanga kwenda nje lakini wengi wanaenda ama kwa kutoroka ama mkataba umeisha lakini hawaruhusiwi na club hiyo tabia ya kubaniana ndo tunayoikataa sisi, Nonda na Bakari Malima wote walienda Africa kusini lakini club ya Yanga haikuwaruhusu kwenda hata kipindi kile Malima amerudi kufuatilia makaratasi ili akacheze Africa kusini pamoja na kuwa na kesi ya madawa ya kulevya Yanga walichofanya ni kumwekea dhamana na kumrudisha kwenye timu lakini sio kwenda south tena, msingeweza kufaidika na Nonda kwa sababu hamkuruhusu kwenda south bado alitoroka, hiyo source ya wikipidia ni kweli inaonyesha lakini hiyo kila mtu anaweza kupost ila ukitafuta alizohojiwa mwenyewe hakuna sehemu hata moja atataja yanga labda awe anahojiwa na Mtanzania.

Hata hiyo link uliyoweka ukiangalia career statistics huwezi kuona Yanga ina maana wakati akiwa Yanga hakucheza mechi hata moja?
 
Rafu ilikuwa mbaya sana,ni Mungu tu alinusuru madhara zaidi maana position ya mguu ilikuwa usawa wa goti pale ni kuvunja kabisa!
 
Crashwise nakuheshimu...ukitaka tuvunjiane heshima tukaambulia ban am on for it mpumbavu mkubwa wewe!
Dr Vipi tena? usikubali akuprovoke, kuna siku anaweza kuwa mgonjwa wako ukashindwa kumtibu.
 
Dr Vipi tena? usikubali akuprovoke, kuna siku anaweza kuwa mgonjwa wako ukashindwa kumtibu.


Ahsante kwa ushauri Masuke...lakini kuna vitu vingine vinakera bana, kuna watu wanadhani hao wana haki tu ya kudhihaki, kudhalilisha na kunyanyasa wenzao tu humu JF..kisa mnashabikia pande tofauti iwe michezo au siasa! Inaboa kweli aisee..
 
Haruna Moshi Bobani, midfilder wa timu ya simba na taifa stars anayevuta bangi
 
Na mtafukuza sana makocha huu mwaka. Mpira si wachezaji na majungu tu,nendeni MKAJIPANGE....
 
Bila ya ushabiki,
yondan ndiye aliyeanza kuingia vibaya kwani hakuwa na lengo la kuchukua mpira pale ila kucheza rafu,
aruna akaona kile kitendo akanyanyua mguu namuunga mkono Othman kazi alivyosema!
Kama Haruna asingefanya vile yeye ndio angeumizwa.
Angalia Mwasika alivyompanda na viatu kazimoto,angalia pia niyonzima alivyomkwatua kazimoto!
Acheni unazi zungumzeni ukweli uliopo
 
Duuuuh! hii imetulia....
 
Sijui ule utaratibu wao wa kuwapima "Mabangi" kama huyu Haruna "Moshi wa bangi" watauanzisha lini,pengine wakishauanzisha utawanusuru vijana wadogo wenye vipaji asilia na dhahma kama hizi,nimemchukia sana huyu Mbwa.


Mkuu

Hivi na wewe ushawahi kuitwa kwa jina hilo??

Hebu pata picha mtu anakuita mbwa ndugu yangu.....

Simtetei Boban,n to be honest he deserved a straight RED card....kwa kosa hili...lakini sidhani kama nawe pia upo sahihi kwa

kumuita binadamu mwenzako mbwa.......so sad!!!

Nadclare interest,Mimi ni SIMBA DAMU!!
 

Dah Kuhusu Nonda Shabaan ni habari ndefu sana kama wachezaji wengi wa nje nchini Africa wakitafuta njia moja au nyengine ya kimaisha Nonda Shabaan kumbukeni kwamba Aliletwa Nchini sio na Dar Young African aliletwa nchini na Viongozi wa Pan African na alikuja kuchezea pan African yeye na Kuna Kipa jina limenitoka kipindi alichotua Nonda 93 kuna Kiongozi Pan African akaenda Yanga ndipo jamaa haku sign mkataba tena na Pan African au ali sign sijui hapo tunaelewa Mipira yetu kipindi hiko kwenye mikataba utata sasa hivi tabia bado tunaziendeleza bora wawaachie vijana nafasi Simba na Yanga tunaaibisha Mpira wetu wa miguu. Nonda ndio akaingia sasa Yanga ya Tambwe na Kimanda ila Nonda kipindi kile walikuwa wakisema ana 21yrs old sasa hapo jiulize.
 
Sijui ule utaratibu wao wa kuwapima "Mabangi" kama huyu Haruna "Moshi wa bangi" watauanzisha lini,pengine wakishauanzisha utawanusuru vijana wadogo wenye vipaji asilia na dhahma kama hizi,nimemchukia sana huyu Mbwa.


WEWE HAUTOKUWA MMOJA WAO?
ni mtazamo tuu usijenge chuki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…