Ingelikuwa ni wale wapiga domo mpira sifuri wangepewa mpira mwekundu wangeukataa.Simba kweli wanaonewa, yaani walilazimishwa na TFF kucheza mpira wa njano?
Kifaa kipo kazini, mlianza refa hakuona na ss tukamaliza refa pia hakuona. Ndiyo mkome kuleta marefa vipofu.View attachment 67132
Angalia kwa makini namna Haruna Moshi alivoufuata mguu wa Yondani na alivokunja sura, angalia position ya mpira hutosita kusema jamaa alikusudia kumuumiza mwenzie!
HARUNA MOSHI "BOBAN" AOMBA MSAMAHA KWAKUMVUNJA YONDANI
y
View attachment 67132
Angalia kwa makini namna Haruna Moshi alivoufuata mguu wa Yondani na alivokunja sura, angalia position ya mpira hutosita kusema jamaa alikusudia kumuumiza mwenzie!
Tatizo ni bangi ndo zinawafanya wafanye hivi. Ni akili ndogo kabisa!!!!
Na akaishiaa kupewa kadi ya njano!!!!sijui refa walimpa kiasi gani!!!huo sio uungwana kabisa sina hakika kama walimpima huyo mwana mabangi...
Maharage kamtuma hivo
.....inaonekana unaushabiki usiokuwa na tija .........Ina wewe maana katika rafu zote zilizofanywa na wachezaji wa Yanga hukuziona? KUmbuka Yondan hakuwa na nia nzuri kuna wakati alikwenda kwa lengo la kumuumiza kaseja wakati kona inapigwa ..... ungekuwa unania njema ungeonyesha na faulo zilizofanywa na Mwasika, Chuji, Twite Canavaro
You are very narrow minded and so myopic mkuu, hivi unadhani kupenda kwangu mpira kumebanwa na Usimba na Uyanga? Kwanza nikufahamishe kuwa me wala siyo shabiki wa timu yoyote ya Mpira Tanzania, soka gani kama soko? Tunalaumu rafu wewe unakazana na Utimu?Pamoja na kashfa zenu bado hamnauwezo wa kurudisha magoli 6 -0 na haya ya juzi 5 - 0
..inaonekana unaushabiki usiokuwa na tija .........Ina wewe maana katika rafu zote zilizofanywa na wachezaji wa Yanga hukuziona? KUmbuka Yondan hakuwa na nia nzuri kuna wakati alikwenda kwa lengo la kumuumiza kaseja wakati kona inapigwa ..... ungekuwa unania njema ungeonyesha na faulo zilizofanywa na Mwasika, Chuji, Twite Canavaro
acha kuchanganya mambo; toa comment kama mtu alieenda shule.that was a straight Red Card foul lakini refa sijui alikuwa anawaza nini hata hakuona rafu mbaya kama hiyo...lakini cha ajabu anaenda kutoa Red Card mchezaji wa Yanga aliyejirusha kukuza ukubwa wa rafu!
View attachment 67132
Angalia kwa makini namna Haruna Moshi alivoufuata mguu wa Yondani na alivokunja sura, angalia position ya mpira hutosita kusema jamaa alikusudia kumuumiza mwenzie!