King'asti!
Hayo ni majina tu
Hayana uhusiano wowote na tabia zetu
Bazazi ni mtu muungwana sana anayefaa kuwa katika mahusiano ya kifamilia
Bazazi ni mtu wa kujali, kuheshimu, kuthamini na mwenye dhamana
Bazazi ni msomi mwenye weledi wa hali ya juu (advanced professionalism)
Bazazi ni mchambuzi mwandamizi mkuu (senior principal analyst)
Kwa sababu za yote hayo;
Bazazi anajali sana hisia za mtu
Anampa mtu anachostahili kwa haki kabisa
Bazazi hamuonei mtu wala kumpendelea
Na ndio sababu BAZAZI NI BAZAZI.
Karibu
King'asti
Karibu upumzike
Hakuna shida wala matata.
[INDENT=3 [USER=115502]Kaka Jambazi[/USER]!
Uko wapo Bana Ujibu hoja
Naam hoja ya Binti Mrembo King'asti
[/INDENT]
Bazazi!