Rafiki

Juma1973

Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
42
Reaction score
14
Habari zenu wana Jf napenda kutafuta marafiki
 

Attachments

  • Dream.jpg
    43.8 KB · Views: 128
Sisi woote hapa jf ni rafiki zako. Ukiwa na huzuni ama furaha tushirikishe. Nawe usikose kushiriki kwenye zetu kwa njia ya maandishi.
 
Sisi woote hapa jf ni rafiki zako. Ukiwa na huzuni ama furaha tushirikishe. Nawe usikose kushiriki kwenye zetu kwa njia ya maandishi.
King'asti!
Bazazi hana rafiki katika JF
Bazazi ana maadui rundo
Maadui wasiopenda kuambiwa ukweli
Je! King'asti wanipenda weye?
Kweli wanipenda?
Wanipendea nini?

Bazazi
​
 
Last edited by a moderator:
Mimi nipo Tayari kuwa rafiki lakini mmmh
jiandaa kuombwa voucher kuninunulia mtori asbh kunipeleka kutembea.kunununulia Azam ice cream.
Jiandaa kwa mizingaa ya kutosha.
 
Mimi nipo Tayari kuwa rafiki lakini mmmh
jiandaa kuombwa voucher kuninunulia mtori asbh kunipeleka kutembea.kunununulia Azam ice cream.
Jiandaa kwa mizingaa ya kutosha.
Huo urafiki tuu,akiomba kuwa mpenzi wako itakuwaje?
 
Bazazi, mimi nawapenda wote as long as ni kiumbe cha mwenyezi Mungu.
Ila siupendi ubazazi wako.
mimi nawe ni marafiki wapenzi, kasoro tu sitahusika na ubazazi and associated activities.
King'asti!
Bazazi hana rafiki katika JF
Bazazi ana maadui rundo
Maadui wasiopenda kuambiwa ukweli
Je! King'asti wanipenda weye?
Kweli wanipenda?
Wanipendea nini?

Bazazi
​
 
Last edited by a moderator:
kwani babu hawezi kuwa rafiki......

yani wewe
Naweza kuwa rafiki na wajukuu lakini si wajukuu janjajanja..... wanaweza kukuvua msuli wakati unaukwea mnazi LOL.......... Sijui kwanini nna hasira na wewe namna hii.

Tunasikitika kuona babu unaukana urafiki wa wajukuu wako kwako
Sijawakana, hebu leteni Gines baridi kwenye meza ya babu muone jinsi babu alivyo rafiki mwema kwa wajukuu watiifu.
 

kama una hasira na mimi njoo PM basi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…