Natafuta Rafiki wa kudumu.
Awe na sifa hizi:
1.Mpole na mwenye hekima
2.Mcha mungu
3.Mrefu, mrembo na mtulivu
4.Afahamu vyema uhalisi wa maisha ya kitanzania
5.Awe na kazi,na elimu kuanzia kidato cha nne
Hizo ni zile za msingi kwangu, lkn haimaanishi kuwa hapo ndio mwisho zipo zingine nyingi za ziada.Atakayeguswa 2wasiliane kupitia +255715020858.
Urafiki wenye sababu sio urafiki. na pia ukiwa too selective utaishia kupata rafiki waovyo. Let everyone be your friend hapo ndio utajifunza mengi na pia kutambua rafiki yupi mzuri.
Urafiki tu urembo wa mtu unautakia nini?
Huyu anatafuta mupenzi PERIOD! na anadai kuna vigezo vingine hajaviainisha kazi kweli kweli,hii intavyu liz lazima utafeli tu lol!Urafiki tu urembo wa mtu unautakia nini?
Hapo mikono yenu inafungwa kamba hahaha!Hapa sijaelewa kidogo, nini maana ya "Rafiki wa kudumu?"
Lizzy wanaichie mwenyewe jmn
Huyu anatafuta mupenzi PERIOD! na anadai kuna vigezo vingine hajaviainisha kazi kweli kweli,hii intavyu liz lazima utafeli tu lol!
Hapana baby unakidhi viwango vya kimataifa,nimesema hivyo baada ya jamaa kusema pamoja na vigezo hivi kuna vingine tena vya ziada.WHY????KWANINI????Jamani Uporoto...ndo kusema mimi sio mzuri au bongo lala???
Hapana baby unakidhi viwango vya kimataifa,nimesema hivyo baada ya jamaa kusema pamoja na vigezo hivi kuna vingine tena vya ziada.
Duh! hapo utanisamehe beautiful lifti nayoweza kupa ni kwenda kwangu,kwako au tukitoka usiku lol!Hahahahahha...hivi kumbe kuna vya ziada!!!Embu nipe lifti nikamwone Sipiyu kazini....nataka kumshangaza sijui wenyewe mnasema kusapraizi!!!
Duh! hapo utanisamehe beautiful lifti nayoweza kupa ni kwenda kwangu,kwako au tukitoka usiku lol!