Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
nashangazwa sana na hali hii inayotokea. niko na rafik zangu 7 na wote awajuan lakin cha kushangaza wananisumbua sana nioe dada zao.nashindwa kuelewa wana lengo la dhati au wanafata maisha bora kwangu. mbaya zaidi karibu kila siku wananisumbua na wamewapa dada zao namba yangu mi nashangaa hao madada unipigia simu na kujitongozesha. binafsi sielew awa wana malengo gani na mimi