Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 4,912
- 12,988
Wewe na soja boi wote mnachezewa akili na kitoto cha mjini
Kila mda unatuletea thread zako za kutunga hapa na umejoin leo.Kivp bro nielekeze
Asante kwa mchango wakoMshauri alimbie faster!! Hapo hakuna mke! Biblia inasema, mke mwema anatoka kwa Bwana. Mwombe Mungu atakupa mke mwema! Mpe pole!
SawaKweli jamaa soja! Ungekuwa mjeshi usingeshindwa kusolve issue ndogo kama hii
Ni issue serious bro...Kila mda unatuletea thread zako za kutunga hapa na umejoin leo.
Baada ya siku tatu utakuwa umejaza server za jf
Iyeleweke .... IelewekeKaka sio utoto kikubwa mada iyeleweke na rafiki yeke tumpatie mawazo sio kila mtu yupo perfect kama ww na swala la kuandika kila mtu ana namna yke ya uwandishi bro sorry
AsanteIyeleweke .... Ieleweke
Yeke................ Yake
Swala............. Suala
Uwandishi.... Uandishi
Nimesoma hii post nikakasirika nikaamua tu nifungulie Redio Mawingu niskize Jahazi sabu sina cha ku comment..Ngoja nipige funda moja la maji...naona wanaume wanazidi kupungua
Sawa,Ushauri wangu,,,atafute msichana wa kuowa. Uyo dem atamnyonya hella. Vitoto vya chuo most of them vinapenda hella na vi2 vya thamani kama simu n.k.
Huyo soja vipi tena? Mgeni wa wanawake huyo itakuwa. Tangu lini mwanamke akapenda. Wao wanaangalia wapi kuna huduma
Ndg ni ushauri tu hakuna ambaye yupo perfect...Nimesoma hii post nikakasirika nikaamua tu nifungulie Redio Mawingu niskize Jahazi sabu sina cha ku comment..
Wanatia hasira sana hawa watu..
Jamaa yetu kapenda sana hadi mwisho wa rohoHuyo soja vipi tena? Mgeni wa wanawake huyo itakuwa. Tangu lini mwanamke akapenda. Wao wanaangalia wapi kuna huduma
Kweli pasua kichwaNdiyomaana wanaume wengi hukimbilia kuowa wa std7- form4
Basi wacha ajifunze kuwa kiumbe ambae ameshaongea na shetani kamwe hapendwi....ni sawa na kumkumbatia shetani tuuJamaa yetu kapenda sana hadi mwisho wa roho
Kweli pasua kichwa
Huyu soja au mlinzi?Ma soldier mwenzenu amekivaa kivambo, njoeni mmsaidie