rafiki yangu yupo kwenye matatizo kwenye mahusiano

Kweli jamaa soja! Ungekuwa mjeshi usingeshindwa kusolve issue ndogo kama hii
 
Kaka sio utoto kikubwa mada iyeleweke na rafiki yeke tumpatie mawazo sio kila mtu yupo perfect kama ww na swala la kuandika kila mtu ana namna yke ya uwandishi bro sorry
Iyeleweke .... Ieleweke

Yeke................ Yake

Swala............. Suala

Uwandishi.... Uandishi
 
Jamaa au ndo wewe mwenyewe. Pole sana mana povu linakutoka af mwandiko hauna cha nukta wala nini japo tumeelewa kwa shida.
 
Ngoja nipige funda moja la maji...naona wanaume wanazidi kupungua
Nimesoma hii post nikakasirika nikaamua tu nifungulie Redio Mawingu niskize Jahazi sabu sina cha ku comment..

Wanatia hasira sana hawa watu..
 
Ushauri wangu,,,atafute msichana wa kuowa. Uyo dem atamnyonya hella. Vitoto vya chuo most of them vinapenda hella na vi2 vya thamani kama simu n.k.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom