Rafiki yangu yuko njia panda kuhusu mchumba wake

Rafiki yangu yuko njia panda kuhusu mchumba wake

Mwambie huyo Jamaa asisubiri Mpaka ashinikizwe kufanya kitu.
Mshauri atangaze ndoa kwa huyo Mwanamke, huenda Mwanamke haioni future na Jamaa baada ya kuwekwa kinyumba miaka mitano bila dalili za ndoa, tena mpaka amshinikize ndiyo Jamaa anaenda Ukweni.
hapa kuna ukweli yaani 5yrs bado wanapimana. Inawezekana jamaa hana mpango nwowote wa kufunga ndoa na bibie. Kaenda ukweni mara 1 kwa kulazimishwaa mmmh! Hapo bwana bora watengane tu ili wapeane muda wa kufikiri hatma ya maisha yao.
 
Mkuu hapo kwenye blue sijakuelewa, umemaanisha nini kwa mfano?


Wanawake wanapta kwny Vipindi kama vile Hedhi, Mimba na Kukoma hedhi!

katika muda huo tabia zao zinakuwaga zinabadilika sana, unaweza kuta mtu anahasira kupitiliza, au anakuchukia sana! ss usipokuwa na busara unaweza piga mtoto wa watu ukaua, au waweza achana nae kumbe sio kosa lake!

So amvumilie kwanza ili kujua je anafanya kwa makusudi au ni jambo la mpito tu! Waswahili wanasema shetani likujualo halikuli likakwisha, meaning ni bora uishi na mtu ambaye matatizo yake unayajua (na unaweza yavumulia) kuliko kuanza kutafuta kutafuta mtu mwingine ambaye hujui chochote, manake unarudi nyuma sana!

So amvumilie tu (at least for now)
 
  • Thanks
Reactions: GKM
miaka 5 na mtoto wanae bado WANACHUNGUZANA amaa?? ugomvi wa mwanamke itakuwa hapo tu, wafanye taratibu wafunge ndoa maisha yaendelee
 
Back
Top Bottom