Rafiki yangu yuko njia panda kuhusu mchumba wake

Rafiki yangu yuko njia panda kuhusu mchumba wake

am tired am tired of trying,am still ur unofficial girl....(singing)
jamaa amuoe kwani tabu ya nini,hata km sio sherehe kubwa bt wife avae shela nyeupeee na kanisan au serikalini muende,ts been too long aisee..MOST WOMEN REALLY WANT TO GET MARRIED,'OFFICIALLY'
 
jamaa yuko njiapanda sana USHAURI WENU WANA MM

Saa nyingine changamoto ya mada ziletwazo huku ni sawa na kusikiliza maneno ya upande mmoja.
Mtu fulani alilalamika kuhusu jambo lililotokea akiwepo. Akaulizwa, "U did everything u could?" akajibu "Yes" akaambiwa basi kaa, "Time will tell". Huwezi shindana na dunia, saa nyingine unsubiri mother nature.

Ok, Turudi kwa jamaa wako...Kuna wadau wamechangia vizuri sana. Huyo jamaa hajafanya yote anayoweza ili kurekebisha hali.
Kwanini amchoshe mtoto wa watu kwa ugomvi ilhali hataki kuoa? Sasa wasolve uhusiano gani hapo? Ahangaike kupatana kisha jamaa aje aoe mwingine?

Kupikiwa? The last time I checked watu huwa wanapikiwa na wake zao. Unakuwa na stress wakati wewe mwenyewe ndo umekataa kuoa? Stress nyingine ni za kujitakia
 
labda kwa misingi ya dini mkuu

Katiba ya Tanzania inatambua ndoa za aina tatu tu, kwa maelezo ya huyu ndugu hayajitoshelezi kuita huo uhusiano kuwa ni ndoa.
 
Katiba ya Tanzania inatambua ndoa za aina tatu tu, kwa maelezo ya huyu ndugu hayajitoshelezi kuita huo uhusiano kuwa ni ndoa.

nioshe tongotongo na hivyo vipengele mkuu
 
W nae hukuwa na lakufanya? Kwan ulitumwa kwamba uombe ushair? Kwa taarifa yako jamaa ashamalizana na mkewe na anakula mzigo kama kawa ww ukome kufuatilia mambo ya watu, utavalishwa kanga mkuu!
 
kwa mtazamo upi ni girlfriend mkuu? wameishi 5 solid years pamoja, yaani chini ya paa moja na wanamtoto bado tutaiweka kwenye hiyo status mkuu?

Kwanini wanazini mpaka leo? Fuatilia huyo mama pengine hilo ndio linalomsumbua..... kwanini hawajafunga ndoa... kukaa pamoja sio issue...
 
Ingawa hawajaoana, ila kwa muda wote waliokaa pamoja wanajuana zaidi ya hapo! Amvumilie tu, manake wanawake wanapitiaga vipindi vigumu sana, huwezi jua yuko ktk mabadiliko gani!

Ikipita miezi angalau 2 na bado mwanamke anamsimamo huo! basi hapo hana jinsi ila kwa wiki 1-3 anaweza mvumilia, Actually uhusiano ni uvumilivu! so amvumilie kwa ss

Mkuu hapo kwenye blue sijakuelewa, umemaanisha nini kwa mfano?
 
Sometym huwa nahisi kuna watu waliumbwa waish pamoja kwenye shida na sio raha. Unakuta walipokua wanafight walikua wanapendana wakishazipata not kila mtu anaelekea upande wake
 
Tuliza boli, weka mpira kifuani, kata kulia kushoto atatulia. wanawake 70% ya mambo wanayo sema huwa hawamaananishi, jsut to test you. love her more than you have done before. if she sounds gud to you then pay the price, she will be back to you with thanks, wanawake ni wazuri katika kujirudi, ila ukisema ushindane nao itakula kwako.
 
Mwambie huyo Jamaa asisubiri Mpaka ashinikizwe kufanya kitu.
Mshauri atangaze ndoa kwa huyo Mwanamke, huenda Mwanamke haioni future na Jamaa baada ya kuwekwa kinyumba miaka mitano bila dalili za ndoa, tena mpaka amshinikize ndiyo Jamaa anaenda Ukweni.

exactly na hapo ndo penye tatizo.
though hatujui ya upande wa pili
huyo mdada anataka ndoa kieleweke hakuna tatizo lingine.

hata ningekua mi nasepa zangu mambo gani ta kuzini miaka yote hyo
 
Sometym huwa nahisi kuna watu waliumbwa waish pamoja kwenye shida na sio raha. Unakuta walipokua wanafight walikua wanapendana wakishazipata not kila mtu anaelekea upande wake
Upo sahihi mkuu,wakati mwingine mipango ya Mungu huwa migumu sana kwa wanadamu!
 
Back
Top Bottom