Rafiki yangu ni mnafiki sana

Rafiki yangu ni mnafiki sana

Sasa si uwaache waoane.

Nawee tafuta wa kuoana nae.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha waoane mkuu kuna mambo mizimu ya kwenu imekuepusha nayo.
 
Kuna msanii aliwahi kuimba hivi., 'hakuna adui mbaya kama rafiki yako mwenyewe, Ambae hujui kama yupo nawe au yupo kinyume na wewe'....kifupi inawezekana huyo rafiki yako alikuonea wivu baada ya wewe kuopoa demu mkali
Fareed Kubanda
 
Mambo yao waachie wenyewe, fanya mambo mengine...
 
achana nao unless unatumia moyoo kufikiria badoo.
 
Uzembe ndio kosa lako.kuna jamaa yangu alipata demu mzuri sana ila kutokana na makundi yake ya kupenda kula bata akajikuta moja ya rafiki yake kamuoa demu wake ambaye wamezaa naye.jamaa alikimbia mji bahati nzuri ni mwanza
Code au sioo! Kurudisha huko tulikotoka hyo ni baadae sana
 
Sasa si bora au ulitakaje

1.Hujaoa Malaya

2. umejua huna rafiki wa kweli

Shida yako nini???Sasa ungemuoa akamgonga ukiwa ndani ya ndoa???

Kuja vitu vingine vikitokea unashukuru..ulitaka uuziwe mbuzi kwenye gunia???
Mkuu pengine jama anajiuliza ule msala wa Dem mimba kuaribika labda chanzo Ni huyo rafiki ake kumpa dawa huyo dem,afu anambiwa ni yeyee
 
Siku wanawake wakujua ukweli kuwa wamepumbazwa na wanaume, kwa kudanganywa kuwa mbususu zao Ni tamu,
Watakuwa viumbe wapole na wanyenyekevu

Waume tuwe wakweli Sasa
Tuwaambie dada zetu kuwa mbususu zao si tamu!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom