Rafiki yangu Marry Diana, kama haupo kwenye ndoa naomba nikuoe

Rafiki yangu Marry Diana, kama haupo kwenye ndoa naomba nikuoe

Muimba SINGELI

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
4,211
Reaction score
10,840
Kwanza niseme natanguliza heshima zote kwako best yangu Marry Diana.
Pengine utafurahishwa ama kuchukizwa na bandiko hili, siwezi kuzuia hisia zako lakini ninaweza kuzipooza kwa kusema neno Samahani.

Marry nimeona kitu cha ziada ndani yako, bila shaka tutafiti tukiwa pamoja tukipambana na hili gurudumu la maisha.

Marry nataka uwe mke wa Kijana Masikini rais ajae wa chama cha majobless pro max.

usizingatie porojo za yeyote atakae taka kudhoofisha hili jambo.

{{{Ilove you Marry Diana}}}
 
Ujinga huu unapewa Airtime
Kama huu ujinga 👇

Screenshot_20250708_092329.jpg
 
Back
Top Bottom