Rafiki yangu kweli anafaa kuwa Hazina,mwaka 2016 amekusanya hivi ktk kibubu chake!!!

Mmhh nimetamani. Ila kukaa na kibubu kazi kweli,ukipata shida unakibomoa kwa style zote.
 
Nyinyi ndiyo magufuli anawatafuta mnaficha hela majumbani mwenu mnasababisha hela haipo mtaani ngoja nikuchome
Jaribu kama wew utaweza, anastahili kupongezwa,mwenyewe Leo amenifanya ninunie kibubu changu naanza kesho rasmi nione mwisho wake kama nitaweza!
JIFUNZE kuweka akiba kaka, MWENYE AKILI DUNIANI NI MWENYE KUWEZA KUWEKA AKIBA !
 
Kibubu dhana yake ni kuweka fedha ndogondogo aina ya sarafu (coin). kwa kibubu cha mbao na kuhifadhia noti... si salama, sio mahali pake kabisa...
 
Mie siwezi kuhifadhi hapo, naweza kunywa bili ikiletwa nikaenda kuvunja hako kadude nilipie vinywaji vya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…