hassan kisabya Almas
Member
- Nov 7, 2016
- 61
- 65
Nyinyi ndiyo magufuli anawatafuta mnaficha hela majumbani mwenu mnasababisha hela haipo mtaani ngoja nikuchome
Jaribu kama wew utaweza, anastahili kupongezwa,mwenyewe Leo amenifanya ninunie kibubu changu naanza kesho rasmi nione mwisho wake kama nitaweza!Nyinyi ndiyo magufuli anawatafuta mnaficha hela majumbani mwenu mnasababisha hela haipo mtaani ngoja nikuchome
Kwahiyo mkuu hata mtu akiongea utani wewe hapa kazi tu au siyo?Jaribu kama wew utaweza, anastahili kupongezwa,mwenyewe Leo amenifanya ninunie kibubu changu naanza kesho rasmi nione mwisho wake kama nitaweza!
JIFUNZE kuweka akiba kaka, MWENYE AKILI DUNIANI NI MWENYE KUWEZA KUWEKA AKIBA !
Kwahiyo mkuu hata mtu akiongea utani wewe hapa kazi tu au siyo?
Kuna vibubu vya chumaaTena kibubu cha mbaoo, hatariiii!!