Rafiki yangu kweli anafaa kuwa Hazina,mwaka 2016 amekusanya hivi ktk kibubu chake!!!

Poa aise kibubu ni nyenzo lakini wazo na dhamira imedhihirika. Mwaka 2017 apanue kibubu maana huko mbele bila hicho kibubu ni majanga.

Ngoja nimkabe mama naniii anitafutie kibobo changu maana awamu yote ya nne sikuwa na maana nacho.
 
Mmhh nimetamani. Ila kukaa na kibubu kazi kweli,ukipata shida unakibomoa kwa style zote.
Hafai kabisa maana wenzake wana hiki
 

Attachments

  • 1483443044510.jpg
    1483443044510.jpg
    43.2 KB · Views: 50
Mmh wewe hapo benki bana. Yaan mtu akae nazo zote hizo home. Majanga ya kujitakia
wee vipo mkuu, umesahau mwanzoni mwa utumbuaji yule jamaa wa nyumba 70's alikutwa na madola ya hivi ndani kwake?
 
Si ndio aibu nyngine za kujitakia hizo. Ila mleta mada kawagusa watu wa kipato cha chini(na mie nimo humo). Kwetu kibubu ndio benk tosha.
wee vipo mkuu, umesahau mwanzoni mwa utumbuaji yule jamaa wa nyumba 70's alikutwa na madola ya hivi ndani kwake?
 
Dah ndo maana hela ilipotea mtaani kumbe watu wanaficha hela kiasi hiki, pombe shika huyu muhujumu uchumi
 
Back
Top Bottom