Ana umri chini ya 18? Kama ni above hakuna shida. Lakini inaonekana huyo katembea na under 18.0 asubiri tu 30years zinamsubiri. Na huyo kama yupo shule shule ndo basi wasimjaribu Magufuli haoHABARI ZA JUMAPILI WANA JF,naombeni msaada wa mawazo kutoka kwenu bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada,Kuna rafiki yangu alikuwa na mahusiano na binti mmoja hv kwa muda kama wa wiki 2 hivi juzi huyo rafiki yangu alikuwa ana sex nahuyo demu mida ya usiku hivi huyo demu huwa ana tabia ya kutoroka usiku na kuja kwa huyo rafiki yangu walipo maliza demu akarudi kwao ile anafika kwao akakuta mama yake yupo mlangoni anamsubiri kumuuliza ulikuwa wapi demu akaelezea kila kitu sasa wazazi wa huyo demu walienda nyumbani kwa huyo rafiki yangu na kudai kuwa binti yao ana mimba na wanataka jamaa amwoe lakn kwa mujibu wa rafiki yangu anasema huwa anatumia kinga kwa muda wote tangu waanze uhusiano.JAMAA ANAOMBA USHAURI AFANYAJE YUPO NJIA PANDA
Ndiyo matatizo ya kuiba. Akubali tu. Kitanda hakizai haramu.Pole sana
Kama anatumia kinga anahofia nini sasa?
Akatae tu majukumu!
Huyo binti ni under 18 lakn hasomi shule yeyoteAna umri chini ya 18? Kama ni above hakuna shida. Lakini inaonekana huyo katembea na under 18.0 asubiri tu 30years zinamsubiri. Na huyo kama yupo shule shule ndo basi wasimjaribu Magufuli hao
Cha msingi uwe mvumilivu akijifunguwa watajuaHABARI ZA JUMAPILI WANA JF,naombeni msaada wa mawazo kutoka kwenu bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada,Kuna rafiki yangu alikuwa na mahusiano na binti mmoja hv kwa muda kama wa wiki 2 hivi juzi huyo rafiki yangu alikuwa ana sex nahuyo demu mida ya usiku hivi huyo demu huwa ana tabia ya kutoroka usiku na kuja kwa huyo rafiki yangu walipo maliza demu akarudi kwao ile anafika kwao akakuta mama yake yupo mlangoni anamsubiri kumuuliza ulikuwa wapi demu akaelezea kila kitu sasa wazazi wa huyo demu walienda nyumbani kwa huyo rafiki yangu na kudai kuwa binti yao ana mimba na wanataka jamaa amwoe lakn kwa mujibu wa rafiki yangu anasema huwa anatumia kinga kwa muda wote tangu waanze uhusiano.JAMAA ANAOMBA USHAURI AFANYAJE YUPO NJIA PANDA
Jamaa yeye hana mpango wa kuoa kwa sasaNdiyo matatizo ya kuiba. Akubali tu. Kitanda hakizai haramu.
Patamu sana hapo
K UNAIPENDA ILA MWANAMKE HUMPENDI. Huyo hana mimba ila wazazi wanafanya hivyo ili umuoe. Kuzalia nyumbani haipendezi. VUTA MTOTO NDANI ILI UJIPAKULIE VIZURI
Pole sana
Kama anatumia kinga anahofia nini sasa?
Akatae tu majukumu!
Kudinyana na under 18 ni kosa la jinai(ubakaji) na kuoa binti under 18 ni kosa pia...Huyo binti ni under 18 lakn hasomi shule yeyote