Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 3,811
- 8,820
Asipompa anaweza kwenda kukopa sehemu nyingine, hivyo akazie tu hayo masharti.Usimpe atakuja kukushukuru badae
Ukikua na ukijua kiingereza utajua baadae. Lakini kwa kiwango chako hiki cha kudhani bila na uhakika utapotea. Rudi shule.META ndo Nini? We sema Facebook jamaa hawajabadilisha jina la app wamebadili jina la kampuni tu, lakin insta, Whatsapp, messenger & Facebook zinaendelea kutambulika kwa majina yake hayohayo....
Usijaribu kumpa mkopo mwanamke ata awe na nani.Usimpe atakuja kukushukuru badae
😟Ukikua na ukijua kiingereza utajua baadae. Lakini kwa kiwango chako hiki cha kudhani bila na uhakika utapotea. Rudi shule.
La kuvunda halina ubani ndio hiliUkikua na ukijua kiingereza utajua baadae. Lakini kwa kiwango chako hiki cha kudhani bila na uhakika utapotea. Rudi shule.
Mkuu si ujilipe mwenyewe tu green light umepewa au hakidhi viwango?Usijaribu kumpa mkopo mwanamke ata awe na nani.
Kuna mdada aliniomba nimkopeshe 1m kwa ajili ya ada za watoto wake, tokea mwezi wa tatu lakini mpaka leo sijalipwa.
Kwahiyo kwavile we hujalipwa ndio na wengine wasisaidiwe?? Huoni kama huu ni ubinafsi??Usijaribu kumpa mkopo mwanamke ata awe na nani.
Kuna mdada aliniomba nimkopeshe 1m kwa ajili ya ada za watoto wake, tokea mwezi wa tatu lakini mpaka leo sijalipwa.
Umefeli...elfu 50 sio hela ya kumnyima mtu aende msibani...tena huyo alisema atarudisha. Hata asingelipa sio ishuKuna mmoja ambaye alikuwa mpangaji mwenzangu huko mkoani kataka nimkopeshe 50 elfu ili aende msibani kijijini lakini ananambia tafadhali sana mmewe asijue kama kanikopa ela.
Sasa nikawaza kwenye purukushani za kudaina mmeo si atajua hapo si ndio atakaponigeuka na kupewa kesi ya kutaka kumla mke wa mtu.
Nikaachana nae na kumpotezea mazima.
50 nayo Unamaindi? Ningempa bila kuidai. Wewe inaelekea unakulaga mizoga isiyodai pesa kabisaKuna mmoja ambaye alikuwa mpangaji mwenzangu huko mkoani kataka nimkopeshe 50 elfu ili aende msibani kijijini lakini ananambia tafadhali sana mmewe asijue kama kanikopa ela.
Sasa nikawaza kwenye purukushani za kudaina mmeo si atajua hapo si ndio atakaponigeuka na kupewa kesi ya kutaka kumla mke wa mtu.
Nikaachana nae na kumpotezea mazima.