Rafiki yangu kabaka! Anataka nimwepushe na miaka 30

Rafiki yangu kabaka! Anataka nimwepushe na miaka 30

Bado hata kama ni above 18 au siyo mwanafunzi. Kwa mujibu wa sheria ya makosa ya kujamiiana anaweza akaingia hatiani kwa ubakaji na hizo zawadi alizokuwa anampa zikatumika kama ulaghai wa kumtaka kingono.
Kuna sheria hata mke wako ukimlazimisha kufanya mapenzi kama alikuwa hataki kwa wakati huo anaweza akakushtaki na kesi ikasikilizwa vizuri tu kama ya ubakaji
Akishashinda iyo Kesi apitilize uko uko
 
Haki ya mungu yaani unaenda mnawisha mdada huko chini, una moyo hata shetani amekushangaa

[emoji1787]kinachonifurahisha kuhusu hii comment yako sio kitendo cha shetani kushangaa,bali wewe ni mdada na umeshangaa
 
Bado hata kama ni above 18 au siyo mwanafunzi. Kwa mujibu wa sheria ya makosa ya kujamiiana anaweza akaingia hatiani kwa ubakaji na hizo zawadi alizokuwa anampa zikatumika kama ulaghai wa kumtaka kingono.
Kuna sheria hata mke wako ukimlazimisha kufanya mapenzi kama alikuwa hataki kwa wakati huo anaweza akakushtaki na kesi ikasikilizwa vizuri tu kama ya ubakaji
Sheria zilizotungwa na kupitishwa na wabunge wa ccm hatuzifuati.
 
Hivi mpaka leo watu wanabaka? Mbona kila ninapopita naona kama papuchi ziko wazi zinasubiri kuingiliwa? Embu toa ufafanuzi vizuri ewe muosha papuchi zilizochakatwa
 
Mwambie binti ameze p2, kisha aende peke yake hospital aseme amefanya ngono sio salama.

Watampa dawa za kumkinga na maradhi mengine.

Asithubutu kusema sijui amebakwa, la sivyo ninyi ni wanaume, muoneni dokta muongee nae kiume, atawaelewa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom