Rafiki yangu kaacha msichana,msichana huyo ananitaka

Rafiki yangu kaacha msichana,msichana huyo ananitaka

Magnesium

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2014
Posts
317
Reaction score
185
Waungwana habari.

Hivi majuzi tu nina rafiki yangu kabisa ambaye naweza kumuita 'best friend' amemuacha demu wake na mimi namfahamu huyo demu.Baada kama ya wiki kadhaa naona demu akazidisha mazoea kwangu na akawa analeta picha sizielewi elewi.

Siku 3 zilizopita kaamua kuniandikiamessage kabisa ananitaka eti ili amkomoe jamaa ake.Dah mpaka sasa niko njia panda maana mtoto mwenyewe si haba.

Msaada tafadhali.
 
Yaani itakua haipendez mbele ya mshakaj wako kama kweli utaenda na huyo dada itaonesha wazi kumbe mlianza kitambo sasa mnathibitisha wazi kabisa nakushaur mpotezee
 
Achana nae! Jiulize kwanini kamwacha rafik yake?
Lengo hasa la kuwa na weww ni lipi??
Rafiki yako akijua uhusiano kati ya wew na rafiki yako utakuwaje???

Je anakupenda??wew una mpenda ??
 
Demu=kitambaa cheusi kilichokua kikivaliwa kifuani na wanawake miaka iliyopita
 
Yaani itakua haipendez mbele ya mshakaj wako kama kweli utaenda na huyo dada itaonesha wazi kumbe mlianza kitambo sasa mnathibitisha wazi kabisa nakushaur mpotezee

Ahsante kwa ushauri
 
Achana nae! Jiulize kwanini kamwacha rafik yake?
Lengo hasa la kuwa na weww ni lipi??
Rafiki yako akijua uhusiano kati ya wew na rafiki yako utakuwaje???

Je anakupenda??wew una mpenda ??

Dah.. Kweli asee.. Nimekuelewa
 
Mkimbie huyooooo aende akatafute wengine. Pia anaweza kuwa anataka kuwagombanisha na yeye kuwa mshindi kukuonyeshea unatoka nae then anakutema.

Ukimjibu inamaana ahaudhamini urafiki wako na best.
 
Waungwana habari? Hivi majuzi tu nina rafiki yangu kabisa ambaye naweza kumuita 'best friend' amemuacha demu wake na mimi namfahamu huyo demu.. Asa baada kama ya wiki kadhaa naona demu akazidisha mazoea kwangu na akawa analeta picha sizielewi elewi.. Siku 3 zilizopita kaamua kuniandikia sms kabisa ananitaka eti ili amkomoe jamaa ake... Dah mpaka sasa niko njia panda maana mtoto mwenyewe si haba... Msaada tafadhali..

Angekuwa mbaya wa umbo na sura ungekuja jf kuweka bandiko hili?
 
Kijana umekosa maamuzi? Umetoa tusi kwa kwa kiingereza kwa mkuu mmoja hapo juu inamaanisha na shule umeenda alafu unashindwa kuamua kitu kidogo tu hapo iseee JF inafanya watu washindwe kabisaa kufikiria wao wenyewe maana kila kitu kinaletwa humu ndani
 
Inamaana ulikua huna mwanamke kabla ya yeye kukutaka...mwanamke yeyote akikutaka ujue kuna kitu kapenda hasa hua ni pesa au ndo kama ivo kulipa kisasi. Noted!
 
Magnesium

Let me tell you in words you'll understand.
a) Msingi mkubwa wa urafiki ni loyalty tu. Yani kulinda interest za rafiki yako kwa hali zote..huo ndo urafiki wa kweli
b) I understand kuna tamaa na she's a catch (as you put it!)

Msichana huyo anataka kurevenge kwa huyo rafiki yako (vengeful woman ). Na hakuna kizuri kama kutembea na rafiki yake mtu na kumconvince psychologically kuwa rafiki is better than you.

Ukilala naye;
1) Ni lazima rafiki yako atajua
2) Huyo msichana hakutaki wewe
3) Ataharibu maisha yenu wewe na rafiki yako and probably her own along the way

We all pray that you come to your senses and not descend into her verge of madness and shame BUT yet desire is desire

NOTE: If you play your cards right you can bed her and leave no tale to tell
 
Last edited by a moderator:

Dah.. Ahsante sana mkuu umeniongezea kitu fulani.. Tayari nimeshapata the motive behind this girl.. She wants to separate us so that she wins.. Thanks for the advice man
 
Last edited by a moderator:
Kijana umekosa maamuzi? Umetoa tusi kwa kwa kiingereza kwa mkuu mmoja hapo juu inamaanisha na shule umeenda alafu unashindwa kuamua kitu kidogo tu hapo iseee JF inafanya watu washindwe kabisaa kufikiria wao wenyewe maana kila kitu kinaletwa humu ndani

Wakati mwingine kushare kitu na mtu mwingine ni bora zaidi kuliko kuamua mwenyewe..
 
Back
Top Bottom