Rafiki yangu bado ananiumiza sana

Status
Not open for further replies.
Pole sana!!!

Usikurupuke maana umeyaharibu kwa hiyo inabidi uwe mpole na mtiifu kwake.

Hujatuambia umemuudhi kwa sababu ipi hilo ni lenu wawili na mtalimaliza wenyewe

Umuache mpaka hasira iishe ndo uende ukamwombe msamaha


Ila kama alikufuma na mchepuko kwa mwanaume kusamehe thijui ila jaribu kwenda naye taratibu

Mwandikie ujumbe wa kumic huku ukiomba msamaha muonyeshe kuwa bila yeye utakuwa mkiwa mpweke hali itaumua moyo wake tena ukurudie

Pole tena pole ila kama alikubamba na mchepuko unalo
 
Pole sana. Time is the best healer, may be as the time goes on mtayamaliza na kurejeana kwenye hali ya awali.
 

Tulia tuuu kuku wako manati ya nn
 
Kama ni Mara ya kwanza kufanya hivo muombe msamaha naamini atakusamehe....ila usirudie tena kufanya hivo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…