Rafiki yangu anatafuta kazi

Rafiki yangu anatafuta kazi

Mimi natafuta mhudumu wa vinywaji kama atataka, au kusaidia kazi za nyumbani. Kama yuko tayari kati ya hizo nicheki 0713322856
Sawa mkuu. Ngoja nimtumie atakupigia.
 
Ni ainagani ya unyanyasaji alifanyiwa...??
Maana isije ikawa ametongozwa tu, then anakuja kushtaki kwako kwamba amenyanyaswa...
Mimi naona tuliache hili mkuu. Halina matokeo chanya kwa sasa. Hata hivyo, jaribu kufikiria unamwambia mtu mkutane mahali kwa masuala ya kazi. Anakopa nauli anakuja unaanza kumtongoza. Sasa si ungemwambia tu kwenye simu?
Amekuwa dissapointed mnoo.
 
Unajua tangazo lako ni too general, bora hata angechagua maeneo fulani, yaani kazi fulani.
Tena awe makini sana kwenda kuonana na watu kirahisi tu.
Wewe kama una nia nzuri nae fanya hizo early screening hata ukiwa nae.
Mtu kasema kusaidia kazi za ndani, yaani housegirl... 28 yrs ??

QUOTE="the maze, post: 36569269, member: 318012"]
Mimi naona tuliache hili mkuu. Halina matokeo chanya kwa sasa. Hata hivyo, jaribu kufikiria unamwambia mtu mkutane mahali kwa masuala ya kazi. Anakopa nauli anakuja unaanza kumtongoza. Sasa si ungemwambia tu kwenye simu?
Amekuwa dissapointed mnoo.
[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom