Rafiki yangu ananiambia anataka ajiue. Nimshauri vipi akae sawa?

Nina rafiki yangu mambo yamemuendea vibaya, kwanza amegombana na mke wake na kaondoka. Pili, ana madeni ya milion 8 ya ndugu yake walikua wanafanya nae kazi.

Mke wake baada ya kuondoka siku hizi status zake anazoweka anamaanisha hana mpango wa kurudi, mara apost anajaribisba shela mara ampost mwanaume!! duh majanga matupu.

Sasa jamaa kila nikiongea nae mara kibao anaongea sana mambo ya kujiua mpaka nachoka kuongea naye.

Kuhusu kudaiwa anaemdai ni ndugu yake kwahyo hawezi kumchukulia hatua kali labda atamsema sema tu.

Jamaa kakonda ndani ya wiki 1 tu, ninavyohisi mimi kuachana na mkewe ndo kunamuumiza sana ila hataki kuniambia ukweli yeye anajifanya mambo ya kudaiwa ndo yanamsumbua kichwa. Huyu jamaa ni zaidi ya rafiki tumetoka mbali.

Nimshauri vp ili akae sawa? Maana nimetumia njia nyingi jamaa anazidi kupoteana tu hata haelewi.
USHAURI
kaa na rafiki yako kwa ukaribu sana, jitahidi ukiwa nae msiongee matatizo yake au chochote negatively,

mbadilishie mazingira na tabia za kila siku, kwa mfano; badilisha ratiba yake ya kula, mazingira anyopenda kupumzika, badilisha ratiba ya kulala, n.k

usimuache muda mwingi awe pekeyake kama inawezekana ishi nae pamoja (hapa ndo kazia sana)

pia usisahau kumuombea kwa imani yako... atokwe na hiyo roho ya mauti inayomfatilia

Nb: kujiua ni jambo mtu analitamka kimasihara sana na linatekelezeka kimasihara pia. kuliko ile kimasihara ya rikiboy
 
Nina rafiki yangu mambo yamemuendea vibaya, kwanza amegombana na mke wake na kaondoka. Pili, ana madeni ya milion 8 ya ndugu yake walikua wanafanya nae kazi.

Mke wake baada ya kuondoka siku hizi status zake anazoweka anamaanisha hana mpango wa kurudi, mara apost anajaribisba shela mara ampost mwanaume!! duh majanga matupu.

Sasa jamaa kila nikiongea nae mara kibao anaongea sana mambo ya kujiua mpaka nachoka kuongea naye.

Kuhusu kudaiwa anaemdai ni ndugu yake kwahyo hawezi kumchukulia hatua kali labda atamsema sema tu.

Jamaa kakonda ndani ya wiki 1 tu, ninavyohisi mimi kuachana na mkewe ndo kunamuumiza sana ila hataki kuniambia ukweli yeye anajifanya mambo ya kudaiwa ndo yanamsumbua kichwa. Huyu jamaa ni zaidi ya rafiki tumetoka mbali.

Nimshauri vp ili akae sawa? Maana nimetumia njia nyingi jamaa anazidi kupoteana tu hata haelewi.
Mnunulie Kvant
 
Mwambie yupo Yesu. King wa mizigo yote yy ni bwana anaewapumzisha wahitaji. Huyo tu zaidi ya hapo atajikondesha buree
 
Nina rafiki yangu mambo yamemuendea vibaya, kwanza amegombana na mke wake na kaondoka. Pili, ana madeni ya milion 8 ya ndugu yake walikua wanafanya nae kazi.

Mke wake baada ya kuondoka siku hizi status zake anazoweka anamaanisha hana mpango wa kurudi, mara apost anajaribisba shela mara ampost mwanaume!! duh majanga matupu.

Sasa jamaa kila nikiongea nae mara kibao anaongea sana mambo ya kujiua mpaka nachoka kuongea naye.

Kuhusu kudaiwa anaemdai ni ndugu yake kwahyo hawezi kumchukulia hatua kali labda atamsema sema tu.

Jamaa kakonda ndani ya wiki 1 tu, ninavyohisi mimi kuachana na mkewe ndo kunamuumiza sana ila hataki kuniambia ukweli yeye anajifanya mambo ya kudaiwa ndo yanamsumbua kichwa. Huyu jamaa ni zaidi ya rafiki tumetoka mbali.

Nimshauri vp ili akae sawa? Maana nimetumia njia nyingi jamaa anazidi kupoteana tu hata haelewi.
Muombee sana asijiue maaana hapo kitakachommaliza sio madeni ni mapenzi.. Siku mke akiamua tu kurudi kila kitu kitakuwa kipya na hilo deni ataliona si kitu
 
Pole yake jitahidi ukae naye kwa ukaribu sana, mtu akianza swagga za kusema kujiua ni rahisi sana kufanya hivyo. Ila wengi tukikumbuka kuwa na serikali inadaiwa basi huwa tunapata nguvu mpya saa ya kupambana na deni, wanaume kudaiwa ni suala la kawaida sana
 
Wanawake wamejaa kama mchanga leo anatokea "jinga" moja linataka kujiua kisa mke wake?

Kama amechoka kula ugali na maharage mwacha ajiue ndio fungu alilolichagua.
Sio rahisi hivyo, omba YASIKUKUTE
 
Attachments

  • 20220209_064105.jpg
    20220209_064105.jpg
    20.1 KB · Views: 4
  • 20220117_111814.jpg
    20220117_111814.jpg
    15.5 KB · Views: 5
Alipe deni mbona anamchukulia poa ndugu yake halafu siku asiposaidiwa atasema ndugu wachoyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom