Rafiki yangu anampenda Padre

Rafiki yangu anampenda Padre

Ongea na nafsi yako uikatae hio hisia,,ni nini umekiona kwa padre hadi umtamani??? Je huna na hujawahi kuwa na mwanaume yoyote??......Unaweza kuta huyo ndo padre bora kuliko wote kwenye hio parokia je uko tayari uifanye hio parokia iwe haina mtu mwaminifu hata mmoja?

Naamini yuko mtu anaekupenda na humpi nafasi hebu mpe hio attention ulioihamisha na hutoona kukosea.

Ni bora upate hata mmoja wa kukuombea toba na ukaridhika nafsi.....

Kumbuka ndo kazi kaisomea miaka yote na ni wito wake pia.
 
Mwambie amwandikie askofu wa jimbo hilo ili kumweleza na kama kuna uwezekano wa kumpata huyo padre??
 
church heathen ya shaggy ushaisikiliza? ajiweke tu mkao wa kuliwa ila isijekuwa anataka kuchafua tu kiongozi wa watu
 
Simple tu, aende kwenye maungamo ambayo huyo padre atamuungamisha, ndani ya chumba cha maungamo atubu hiyo dhambi...ha haa haaa mbona padiri atadata!!!
 
Wako free hao SAA hizi hao mwambie apeleke tyu hio papuchi
 
Nilikuwa na ishu inafanania na yako miaka kadhaa imepita.
Nilienda hospital moja inaitwa St.Joseph mkoa mmoja,,,pale maness wote ni masister,,,halafu ni wazuri sana,,sasa kuna mmoja nilimkubali mno,,mpaka nilibidi nirudi pale baada ya siku mbili nikijifanya bado naumwa lakini ni yule nesi alinifanya nikapagawa,,,ila Nilikuwa na demu wangu na anaenipa kila kitu.....Nikamwomba appointment akawa ananipiga tarehe Baadae miezi kama mitatu nikaenda nae chakula cha mchana....nilimuuliza vingi ila kikubwa ni nini kilimfanya awe sister??? Nikamwambia toka nimuone imeniwia vigumu kumtoa kwenye mawazo yangu,,,ila aliniambia mengi na hakuwa tayari,,,,,ila ni best counsellor niliowahi kutana nao....Basi nimekuwa nae karibu baadae zile hisia ziliniisha na bado alikuwa akinikumbusha kusali na hadi leo ni sister alie na msimamo na aliesimamia misingi..Kwa kifupi alinisaidia sana maana alijenga ukaribu na mimi na kunijengea mtazamo kwamba nifocus kwenye dini kwamba Maarifa ninayojaza kwenye fahamu zangu ndo hudetermine direction yangu..books na mafundisho na aina ya miziki ninayosikiliza ni vitu vya kuzingatia sana.
 
mwambie afunge na kuomba hilo ni pepo na anataka apitie kwake ili haiaribu kazi ya Mungu ashindwe kwa jina la yesu.
 
Hamna lolote mapadre wanaliwa kama kawaida Kwan kiapo ndo nn mi nadate na Padre yan vzr mno huu mwaka wa 3
 
Haha ha hizo ni laana za kujitakia huyo amependa ambapo haparuhusiwi kupendwa....
 
Njoo huku kuna Padre anatongoza tongoza wanawake. Kama anataman Kudate na Padre.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom