ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,286
- 19,463
Kamfuata Padri kumueleza hisia zake!?
Hii ni dharau kwa dini za watu. Very offending. Seriously unakuja kuomba ushauri tukupe mbinu za kuzini na kiongozi wa dini fulani? Kama uko serious wewe na rafiki yako Mungu atawaongoza.Habarini waungwana!
Nina rafiki yangu kipenzi ametokea kumpenda padre anadai amejaribu kumpotezea lakini imeshindikana amejikuta anaumia na muda wote anashinda bila furaha kumuwazia padre.
Jamani tunaomba mbinu zitazomfanya afanikiwe kumpata padre kwani yeye si muimbaji kwaya wala huwa hatumikii kule mbele ni muumini tu! Pia na ushauri ruksa nipo nae hapa nae atasoma kila comment..
karibuni!
Kama ni wewe sasa hilo pepo linakaribia kukupeleka kaburini kumbuka mshahara wa dhambi ni mauti..! Stop it hizo tamaa zake/zako zitakuangamiza.Habarini waungwana!