Rafiki yangu anampenda Padre

Rafiki yangu anampenda Padre

Principle girl

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
1,675
Reaction score
1,754
Habarini waungwana!

Nina rafiki yangu kipenzi ametokea kumpenda padre anadai amejaribu kumpotezea lakini imeshindikana amejikuta anaumia na muda wote anashinda bila furaha kumuwazia padre.

Jamani tunaomba mbinu zitazomfanya afanikiwe kumpata padre kwani yeye si muimbaji kwaya wala huwa hatumikii kule mbele ni muumini tu! Pia na ushauri ruksa nipo nae hapa nae atasoma kila comment..

karibuni!
 
Nasikia mapadri wana mikosi hao sababu wamekula kiapo akilala nae mwambie asahau kuolewa tena maishani mwake..SA sijui kweli nilisikia hivyo....mwambie aache kuchezea madhababu takatifu shoga yako..
 
utakuwa ni wewe mwenyewe umemzimikia padre ila unatumia gia ya rafiki yako
 
Sasa si umsaidie rafiki yako ili ampate padri,


Shuba the meet....
 
Habarini waungwana!

Nina rafiki yangu kipenzi ametokea kumpenda padre anadai amejaribu kumpotezea lakini imeshindikana amejikuta anaumia na muda wote anashinda bila furaha kumuwazia padre.

Jamani tunaomba mbinu zitazomfanya afanikiwe kumpata padre kwani yeye si muimbaji kwaya wala huwa hatumikii kule mbele ni muumini tu! Pia na ushauri ruksa nipo nae hapa nae atasoma kila comment..

karibuni!

Akome kabisa. Ashindwe na alegee. Apeleke papuchi lake kwa bodaboda. Asituharibie mapadre wetu wapendwa. Shenzi type.
 
Najua ni wewe lakini lazima nikupe mbinu. Fanya hivi, Nenda kasome ratiba ya siku za kuruhusiwa kumwona na saa zake. Usiwe wa kwanza kwanza bali subiri waende wengine haswa wamama wazee wawili watatu. Nawe uingie kuwa unataka kununua rozari. Jifanye kuwa bikra wala hujui lolote. Vaa nadhifu sana na kistaarab. Akiisha kukuuzia, mwombe baraka na upige magoti kuonesha kuwa ni mshamba flani hivi. Nakuhakikishia, siku hiyi hiyo atakuomba namba. Mwoneshe kism cha mchina usiende na latest mode. Mwambie hujui kuingiza hata namba kwani babako ni mkali sana na anakuchunga. Atakupeleka kwenu kwa gari lake. Siku nyingine kaandikishe misa kwake. Hizo ndio mbinu na ukimpata usiache kutukumbuka katika ufalme wako
 
Mwenyewe niliwahui kumpenda sister ikawa ngumu kweli ila sister alikwua mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya mission ilibidi nijifanye kama naenda kuulizia kumuandikisha mtoto ili nipate kujua kama anapenda utani au la basi siku iyo nilimuacha nikaenda siku nyingine nikamwambia kuna kitu nlitaka niongee na yeye in private akanipeleka maeneo ya hostel tukae nje tuongee ikawa noma nikabadili gia angani nikamwambia naitwa nikaondoka badae nikakutana naye anashuka basi nikamsalimia ila alinikumbuka nikamtania akacheka nikamuacha siku nyingine nikamtumia ujumbe kuwa twende meru kuwasalimia ndugu zake maana alikuwa mmeru akanambia nimpe sababu za msingi nikamuacha ahaha.... nitaendelea siku nyingine.... nashauri aanze kama mazoea kwa mbali afuate ofisini kwake ajifanya kama anashida flani hivi halafu umueleze kama story ya uongo kuhusu tatizo lake amjue kama anaweza kutaniwa au la au ni mcheshi au la akijua hapo basi atajua jinsi ya kumuingilia indirectly
 
Hahaha, anataka bikraa ya paroko aitatue huyo hana lolote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom