Rafiki yangu anakaribia kumfumania mkewe

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,136
Reaction score
33,537
Aisee nyie acheni haya mambo, kutokana kuwa karibu na watu na sehemu niliyopo kuna jamaa kutoka mkoa x alimuwezesha mke wake kufanya biashara fulani kwenda mikoa fulani, baada ya biashara kukua mke kaanza kuleta zarau na kuwa bize sana na safari za huo mkoa.

Basi jamaa katupigia simu na kututumia picha kama yupo hiyo sehemu. Kwa kweli mwanamke ni mzuri sana na kokote anaitaji ulinzi kwa uzuri aliyo nayo.

Sasa jamaa naona kachanganyikiwa na maeneo tuliyopo mke wake anajiachia na mtu.

Jamaa anafunga safari kuja huku!

Nitakuja na mrejesho naelekea duka la vifaa vya magari kununua grisi

**Mrejesho *
Jamaa yupo njiani kutokana na mkoa aliopo anakuja na private car.tunacho fanya kwanza kutafuta polisi wa hayo maeneo na kufungua jarada kabla yote kuanza akifika na kupumzisha ili kesho tuanze na kazi iliyomleta

Mrejesho
Tumeingia hiyo sehemu X kama tulivokusudia tukiwa na jaziba na vilainishi vya mitambo aka gris.
kumbe jamaa kafungiwa rada bwana tokea alipotoka au siri ya kuja kushika ugoni imevuja humu !

Maana itakuwa kapa habari humu.

ila tunacho fanya tuta mtrack maana uwezo tunao labda akimbilie kwa shetani .

tumekamata mzigo anapokwenda kuchukulia ambao mwanamke alipofika.

kwa sasa kesi hipo polisi.

ila jamaa nilikuwa nimemuandalia kopo zima la grisi maana haishi haraka.

tutaendelea .....
 
Eti fumanizi!

Kama jamaa yako kaoa kahaba unategemea nini?

Na hapo siyo fumanizi bali ni kujidhalilisha tu.

Na tatizo la kesi za fumanizi zipo kwenye kundi la kesi za madai na si jinai, hivyo haifungi wala kuweka mtu ndani.

Kwa hiyo usiishupalie sana ukadhani kuna kitu jamaa yako atapata baada ya kufumania, sana sana ni ndoa kuvurugika tu.

Tena mtakayemfumania kama anaelewana vizuri na mkewe,ile mtakapomaliza mtoza faini huyo mgoni, basi mke wa mgoni atajitokeza na kumshika ugoni mke wa jamaa yako kwa kosa la kuzini na mumewe na atawalamba faini kubwa kuliko mliyomtoza nyie!

Na huo ndio mchezo wa hayo mambo, vile ambavyo unakuwaga.

Shauri zako, usije kusema hatujakueleza.
 
Usiwatishe.Waache wafurahishe nafsi hata kwa kidogo sana watakachopata.Akilacho mtu hakina hila machoni.
 
Eti fumanizi!
Kama jamaa yako kaoa kahaba unategemea nini?

Na hapo siyo fumanizi bali ni kujidhalilisha tu.

Na tatizo la kesi za fumanizi zipo kwenye kundi la kesi za madai na si jinai, hivyo haifungi wala kuweka mtu ndani.

Kwa hiyo usiishupalie sana ukadhani kuna kitu jamaa yako atapata baada ya kufumania, sana sana ni ndoa kuvurugika tu.

Tena mtakayemfumania kama anaelewana vizuri na mkewe,ile mtakapomaliza mtoza faini huyo mgoni, basi mke wa mgoni atajitokeza na kumshika ugoni mke wa jamaa yako kwa kosa la kuzini na mumewe na atawalamba faini kubwa kuliko mliyomtoza nyie!

Na huo ndio mchezo wa hayo mambo, vile ambavyo unakuwaga.

Shauri zako, usije kusema hatujakueleza.

matatizo yasikie kwa mwenzako.
hizo habari zako unaona rahisi sana.kuna jamaa kama wewe alikuwa anaongea hayo siku alipokuja kugundua mke wake anatafunwa na mimba sio yake.kwa aibu ya kejeli kuona yeye mstaarabu na mjanja kama wewe jamaa alijipiga kintanzi.
 
Sikia ndugu, hapa nimeeleza kizoefu na si kwa mihemuko.

Haya jamaa kakamata ugoni, unadhani mwisho wake huwa ni nini?

Kama unaifahamu sheria juu ya mambo hayo, eleza kwa ufanisi ni manufaa gani mfumaniaji anayapata baada ya kufumania.

Mimi hizo kesi si mgeni nazo isee.
 
Sikia ndugu, hapa nimeeleza kizoefu na si kwa mihemuko.

Haya jamaa kakamata ugoni, unadhani mwisho wake huwa ni nini?

Kama unaifahamu sheria juu ya mambo hayo, eleza kwa ufanisi ni manufaa gani mfumaniaji anaipata baada ya kufumania.

Mimi hizo kesi si mgeni nazo isee.
Unaelezea kwa kadiri ya taratibu za kisheria?Hapo ndipo mnatofautiana.Kufumania ni zaidi ya hizo taratibu zako za kisheria.Sijui unaelewa?
 
Zinasema kama ulivyoeleza awali hapo juu Lakini,muelewe aliyeleta uzi.Ni nini kinakushinda kumuelewa?
Nimemuelewa kwamba wanataka kuandaa fumanizi.

Ndo nikasema aheri kuzuia hilo fumanizi kuliko kuliruhusu maana fumanizi halina faida na ni kesi ya madai, sana sana ni kuivuruga ndoa.
 
Back
Top Bottom