Rafiki yangu anaibiwa penzi

masssaiboi

JF-Expert Member
Feb 10, 2009
636
132
Halloo,

Nina rafiki yangu mpenzi jana kanilalamikia kuwa anahisi kuna mtu ana mahusiano ya kimapenzi na mkewe, ila ameshindwa kumkamata kwa sababu saa zote mkewe anafuta message zote kwenye inbox na sent items lakini msg counter inaonyesha kwamba kuna msg nyingi tu zimetumwa.

Naombeni basi kama kuna mtu anajua jinsi au mahali anapoweza kuretrieve hizo message. Simu anayotumia ni ya kichina na line ni ya TIGO.
Please help cause this is serious na jamaa yupo kwenye hali mbaya.

Thanx.
 
kwahiyo amekutuma wewe uje umtafutie huyo mwenye mahusiano na mke wake sio??? atakupa shing' ngapi ukifanikiwa?

Ndugu wakigombana, chukua jembe ukalime... wakipatana beba kapu ukavune
 
kwahiyo amekutuma wewe uje umtafutie mtu mwenye uhusiano na mkewe atakupa shing' ngapi ukifanikiwa?

Ndugu wakigombana, chukua jembe ukalime... wakipatana beba kapu ukavune
:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Sasa kama amejua kuna jamaa anamega akisha mpata anataka amfanyaje?
Mwambie akazane kumridhisha mkewe ndo dawa pekee, ajikunje kama nyani.
 
Halloo,

Nina rafiki yangu mpenzi jana kanilalamikia kuwa anahisi kuna mtu ana mahusiano ya kimapenzi na mkewe, ila ameshindwa kumkamata kwa sababu saa zote mkewe anafuta message zote kwenye inbox na sent items lakini msg counter inaonyesha kwamba kuna msg nyingi tu zimetumwa.

Naombeni basi kama kuna mtu anajua jinsi au mahali anapoweza kuretrieve hizo message. Simu anayotumia ni ya kichina na line ni ya TIGO.
Please help cause this is serious na jamaa yupo kwenye hali mbaya.

Thanx.
kwenye blue, yawezekana hizo msg zinazotumwa ni zile za BIBLIA,AFYA,MICHEZO etc. au labda ni hizi msg za ma EXTREME so asiwe na wasiwasi kwa kuangalia msg counter wife hamegwi wala nini, labda jamaa ndo anamega mke wa mtu out so anafikiri na wake anamegwa!!:smile-big:
 
Jamaa wivu umemjaa sana ..iweje amuwazie mkewe mabaya wakati hana evidence yoyote:confused2:
 
Anaogopa yasije mkuta yaliyo mkuta shostito wako kumegwa kwa mdogo mtu si wajua chukua tahadhari mapema.
Kunguru mwoga huepusha mbawa zake-------> anamaisha marefu unaupata huu usemi wa wahenga.
 
kwakweli inatia mashaka kama msg counter inasoma msg zimeingia kisha inbox hakuna msg hapo utata.lakini je jamaa anafanya uchunguzi kwa siri au anamuuliza na mkewe.
 
Wenyewe wameshayaongelea hadi wakutumie wewe ndugu? Kwanini asimuulize mkewe kwa upole na utaratibu, Au anaogopa kupoteza ushahidi?
 
Halloo,

Nina rafiki yangu mpenzi jana kanilalamikia kuwa anahisi kuna mtu ana mahusiano ya kimapenzi na mkewe, ila ameshindwa kumkamata kwa sababu saa zote mkewe anafuta message zote kwenye inbox na sent items lakini msg counter inaonyesha kwamba kuna msg nyingi tu zimetumwa.

Naombeni basi kama kuna mtu anajua jinsi au mahali anapoweza kuretrieve hizo message. Simu anayotumia ni ya kichina na line ni ya TIGO.
Please help cause this is serious na jamaa yupo kwenye hali mbaya.

Thanx.

Hizi handset za mobile zina madhara ya kisayansi (miyonzi) kwa mwanadamu. Kwa utafiti wangu mdogo madhara yake kwa mahusiano ni mabaya zaidi kuliko hayo ya kisayansi maana magonjwa ya moyo yatokanayo na cheating ni makubwa zaidi. Ni balaa hizi!! Twendeni taratibu!
 
tatizo jamaa muoga sana, nchi ya kijamaa hii sharing is highly encouraged..na wewe jamaa angalia, unapofanywa dalali now badae yasije kukugeukia.
 
Halloo,

Nina rafiki yangu mpenzi jana kanilalamikia kuwa anahisi kuna mtu ana mahusiano ya kimapenzi na mkewe, ila ameshindwa kumkamata kwa sababu saa zote mkewe anafuta message zote kwenye inbox na sent items lakini msg counter inaonyesha kwamba kuna msg nyingi tu zimetumwa.

Naombeni basi kama kuna mtu anajua jinsi au mahali anapoweza kuretrieve hizo message. Simu anayotumia ni ya kichina na line ni ya TIGO.
Please help cause this is serious na jamaa yupo kwenye hali mbaya.

Thanx.

Mkuu mshauri huyo jamaa yako kuto angalia e-mails za mke wake au msg zinazoingia kwenye simu ya mkewe. Kufanya hivyo nikujitafutia ugonjwa wa moyo. Kama uaminifu umekwisha then amua moja kuachana.
 
Halloo,

Nina rafiki yangu mpenzi jana kanilalamikia kuwa anahisi kuna mtu ana mahusiano ya kimapenzi na mkewe, ila ameshindwa kumkamata kwa sababu saa zote mkewe anafuta message zote kwenye inbox na sent items lakini msg counter inaonyesha kwamba kuna msg nyingi tu zimetumwa.

Naombeni basi kama kuna mtu anajua jinsi au mahali anapoweza kuretrieve hizo message. Simu anayotumia ni ya kichina na line ni ya TIGO.
Please help cause this is serious na jamaa yupo kwenye hali mbaya.

Thanx.

Kwanza anasema kuwa anahisi which means he his not sure about it, which it can lead him kufanya maamuzi yasiyo sahihi swala la pili ni ameshindwa kumkamata coz bado hajapata evidence ya kuonyesha kwamba ana mahusiano na mwanaume mwingine mwambie asiwe na haraka mambo haya yanahitaji uchunguzi wa akina asije akakurupuka na kufanya maamuzi yasiyosahihi kumbe wala hamna kitu kama hicho.

Lastly regarding TIGO if you know someone kwenye huo mtandao he can help you trace but thats not for you to do it mfikishie ujumbe mwenye mali zake cause for you it will be like you are interfering in peoples affairs especially when it comes kwa mtu na mkewe
 
Dah... hivi haya matatizo yenu ya mapenzi yataisha lini??

Message Counter inamtoa mtu roho... Tell him to seek Jesus
 
Halloo,

Nina rafiki yangu mpenzi jana kanilalamikia kuwa anahisi kuna mtu ana mahusiano ya kimapenzi na mkewe, ila ameshindwa kumkamata kwa sababu saa zote mkewe anafuta message zote kwenye inbox na sent items lakini msg counter inaonyesha kwamba kuna msg nyingi tu zimetumwa.

Naombeni basi kama kuna mtu anajua jinsi au mahali anapoweza kuretrieve hizo message. Simu anayotumia ni ya kichina na line ni ya TIGO.
Please help cause this is serious na jamaa yupo kwenye hali mbaya.

Thanx.

Kwanza mpe pole kwa wasiwasi wake, then mshauri afanye yafuatayo;

1. Asiwe na kifua cha plastic...! Yaani awe jasiri wa kupata ukweli utakaokuwepo...!

2. Ahakikishe kuwa yupo tayari kuyapokea, na anaweza kustahimili maamuzi atakayoyafikia...! Awe na peace of mind...!

3. Ajichunguze yeye mwenyewe, huenda anachangia kuwepo kwa mazingira hayo, then ajirekebishe haraka...!

4. Kisha afanye uchunguzi wa kina, na kwa utaratibu makini, aidha anaweza kufanya haya;

a) Anaweza kukuweka wewe kama PI (private investigator)....!

b) Amwalike huyo mtu nyumbani kwake, then afanye observation...! Things may display automatically...!

c) Kama anamfahamu mkewe vema kisaikolojia, anaweza kumchomekea kama kashtuka, then reactions may indicate the truth...!

d) Ampleke sehemu yenye utulivu, then amrubuni mawazo...! hata kwa kumdanganya kuwa alikuwa na mahusiano na mwanamke fulani, lakini atamwacha, then naye aombe uwazi, huenda ukweli ukapatikana kupitia mdomo wake...!

e) Anaweza pia kumjaribu kumwomba atumie simu yake kwa muda, utayari na uhuru wa mwenzie huenda ikaleta maajabu...!

Vinginevyo, aelewe yafuatayo;

1. Kufumania sio lazima ushuhudie nyoka akiingia shimoni, hata ukimkuta anatoka, ni kufumania pia...!

2. Mwizi wa mbuzi sio lazima umkute zizini, hata akiwa nyumbani kwake, lakini with evidence, ni mwizi...!

3. Ni rahisi kumwamini mbwa aliye zizini na mbuzi, lakini si binadamu...! Hivyo, in this world, "ONLY A FOOL MAY TRUST HIS/HER PARTNER". Bora usishudie...!

4. Normally, but not at all times, feelings comes from some facts, so something might be behind the window...! Awe makini...!
 
tatizo jamaa muoga sana, nchi ya kijamaa hii sharing is highly encouraged..na wewe jamaa angalia, unapofanywa dalali now badae yasije kukugeukia.

Kwa kweli tunashindwa kumuenzi mwalimu kwa vitendo. Kushare ni muhimu katika nchi yetu> Big up butterfly
 
Halloo,

Nina rafiki yangu mpenzi jana kanilalamikia kuwa anahisi kuna mtu ana mahusiano ya kimapenzi na mkewe, ila ameshindwa kumkamata kwa sababu saa zote mkewe anafuta message zote kwenye inbox na sent items lakini msg counter inaonyesha kwamba kuna msg nyingi tu zimetumwa.

Naombeni basi kama kuna mtu anajua jinsi au mahali anapoweza kuretrieve hizo message. Simu anayotumia ni ya kichina na line ni ya TIGO.
Please help cause this is serious na jamaa yupo kwenye hali mbaya.

Thanx.

Anataka kufa kwa pressure?!!..kwanini asijiulize kama mkewe anacheat ni kwasababu gani? akiwa detective/spy itasaidia kuokoa ndoa ilhali anaona ina ufa??!
 
Back
Top Bottom