Rafiki yangu ana tatzo la kiafya: Ana madonda yanatoa majimaji maeneo ya karibu na sehem za siri

kanchibay

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
672
687
Habari waungwana,

Niende moja kwa moja kwenye lengo la thread hii, ni kwamba kuna rafiki yangu wa kike ana tatizo. Tatizo lenyewe ni kwamba ana madonda yanatoa maji maji kwenye maeneo karibu na sehem za siri yaan upande wa kulia pamoja na kushoto, madonda hayo yanatoa maji maji tena ni kwa muda mrefu sasa.

Hivyo basi mwenye kujua tiba tafafhali msaada.
 
Usol ni dawa poa ya vidonda, au ile ya wino sjui wanaitaje ukienda pharmacy wanakuuzia
 
Aende hospital atapata dawa atapona bila shaka, asikae na ugonjwa kwa muda mrefu madhara yatakuwa makubwa zaidi.
 
Mliokuwa, mnakaa upande wa mwanamke mwenzenu kwa mwitore njooni mkae na mwenzenu na huku uchi unalwa,na wadudu
 
Mliokuwa,mnakaa upande wa mwanamke mwenzenu kwa mwitore njooni mkae na mwenzenu na huku uchi unalwa,na wadudu

Wewe ni mtu mzima, ukijitafakari unaona ulichoandika kina uhusiano na thread?

Unashindwa kuyaacha kule ya kule, unaendeleza ligi na watoto wa kike hata thread zisizohusika?
 
Wewe ni mtu mzima, ukijitafakari unaona ulichoandika kina uhusiano na thread?

Unashindwa kuyaacha kule ya kule, unaendeleza ligi na watoto wa kike hata thread zisizohusika?
Nimeku qoute mahali!?pliz keep your distance am not a good person nikikasrika.
 
Nimeku qoute mahali!?pliz keep your distance am not a good person nikikasrika.

Hujani-quote, nimeshangaa mtu mzima kwenye uzi wa mtu kuomba ushauri wa kiafya umeleta habari za ugomvi wako na watoto wa kike!

Ile ligi malizana nayo kulekule, huku mtu anahitaji ushauri.
 
Muongo ni wewe mwenyewe.
We jombaaa, thread inasema jinsia ya kike, sasa wew unaleta ujinga wako hapa hata kama ni mim wew inakuhusu nin?? Achen kutumia Mbs zako vibaya bas,,, kama kuna mtu anashda na unaeza imaliza bas fanya kweli, na kama huwez imaliza bas usikoment chochote,,

Vile vile kunaeza kuwa na mtu mwenye shida kama hii akapata msaada kupitia thread hii na wewe waleta kejeli za kipuuzi!!! Nakushangaa sana asee
 
Back
Top Bottom