Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 3,004
- 5,176
atoke hapo njia panda arudi home chap akitulizeyuko njia panda.
We umejuaje mtoto ni mzuri,,,ni wewe ila pole mkuu pambania ulichopanda tumia akili,,,,,Akili Mungu aliyokupa inakutosha kuyakabili mazingira yote.....wala huhitaji akili toka nje man....Habari zenu waungwana,
Rafiki yangu anaomba ushauri, Kwa kifupi ilitokea akawa na mahusiano na mke wa mtu, kwa maelezo yake anasema Mara ya kwanza Kushiriki tendo mwanamke alinasa ujauzito.
Baada ya mwanamke kujifungua mtoto mzuri wa kike ikawa jamaa anaulizia maendeleo ya mtoto anapewa ushirikiano kama kawaida, Wakati huo Mume wa huyo mwanamke hajui kama mtoto si wake,
Jamaa alimwambia mwanamke kwa kuwa imetokea wamezaa ili kuepusha hatari kwake na kwa mtoto wapunguze kuwasiliana na wavunje mahusiano abaki na jambo moja tu la kumhudumia mtoto japo kwa siri,
mwanamke akamwambia jamaa kama anahitaji kuendelea kupata taarifa za mtoto basi waendelee na mahusiano, mwanamke hataki habari ya kuvunja mahusiano, Jamaa anakiri ni kweli alifanya kosa kubwa na hata nafsi yake inamsuta. Mshaurini huyu jamaa yangu kwani yuko njia panda.
wambie wafungw ndoaHabari zenu waungwana,

Comment yako hii imenikumbusha ya gwaji boy.atoke hapo njia panda arudi home chap akitulize
alipo t0mb@ kavu na kumwaga ndani huku akiunguruma kama simba, alitegemea nini
Nimeona picha mwambaWe umejuaje mtoto ni mzuri,,,ni wewe ila pole mkuu pambania ulichopanda tumia akili,,,,,Akili Mungu aliyokupa inakutosha kuyakabili mazingira yote.....wala huhitaji akili toka nje man....
Mwanamke ni mfanya biashara anajiweza kiuchumu, ye amnachotaka waendelee na mahusiano ya kimapenzi, only thatYeye anatak taarfa za mtoto bila kutuma kibunda ,
Ahakikishe anatuma 150,000/- hadi 300,000 kwa mwez atapew taarfa za mtoto