Babu DC umesema kweli
unamkuta mtu analia anajigaragaza mpaka anatia huruma
kumbe kichwani anajua anacholilia
Kwenye wasifu wa marehemu wekeni wazi kwamba ngwengwe ndio imemuua,ili vijana wetu wajue kwamba UKIMWI upo na unakill.
nina huzuni sana kwa kuwa tulikuwa wote siku chache zilizopita lakini akaugua ghafla na akashindwa kabisa kumeza dawa na chakula,hospital wamesema ni ukimwi,nilie au nifanye nini mimi maskini,,,uuuuuuuuuuuuuuuuwi tutapona kweli????
sijawahi hudhuria mazishi nikasikia kwenye wasifu
wa marehemu wamesima alikufa kwa hiyo kitu
utasikia aliugua ghafla kama kwenye mada
au alikuwa na upungufu wa damu na mengineyo
kwamwe hutasikia ukimwi
ukweli unawekwa kando kinachobaki ni
maneno ya mtaani
We acha tu,
Huu ungonjwa wetu wa siku hizi umezua kizazaa,
Naamini jamaa alitaka kutangaza msiba wa rafiki yake ila network imeswitch ghafla na kuhamia kwenye mtandao mwingine...
Vyovyote vile...tumwombee marehemu apumzike kwa amani ila na sie watarajiwa tusubiri zamu yetu!!
Na ndio maana tunamshangaa huyu mshikaji anayetangaza msiba wa mtu anayemwita eti ni rafiki yake na wakati huo kutueleza kuwa kafa kwa ukimwi....Hili siyo la kawaida na mshikaji lazima network haiko mahali pake au kuna msg zaidi alitaka kutupa!!
AMINA
Babu DC aliyekufa amekufa
tuliobaki tunapewa nafasi ya kubadili tabia
na kujifunza baada ya kuona mwenzako/rafiki amekutoka
katika hali hiyo
Mungu apishilie mbali...hata kama unazingatia masharti kwenye ajali nyingi zinazotokea watu mnaweza kuambukizana kutokana na majeraha mliyopata...!Mi siwezi kufa kwa ukimwi kwasababu nazingatia masharti ya kujikinga.
:ballchain::A S embarassed:Babu ODM
mzima weye
Kama yapi Mwita25?Mi siwezi kufa kwa ukimwi kwasababu nazingatia masharti ya kujikinga.
Kwenye wasifu wa marehemu wekeni wazi kwamba ngwengwe ndio imemuua,ili vijana wetu wajue kwamba UKIMWI upo na unakill.
Nasikia kwenye sexual intercourse knachosababisha maambukizi ni michubuko..kwahiyo ukila kavu ukakojoa haraka kabla hujachubuka umepona! ila ukijifanya fundi ukasugua sana ndio mwanzo wa kupata ngoma!