Rafiki yangu amedisko

inawezekana mimi na alie disco ndo wenye akili ndogo humu jf, maana kila mmoja anashangaa jamaa ku disco kwamba elimu ya chuo rahisi sana.

hapa sijajua wanaosema rahisi ni wa vyuo gani, au ni wale wanaopewa sehemu za kusoma na kuambiwa mtihahi utatoka hapa, ama wale wanaoletewa maswali yaliyokwisha fanywa kwenye makutano yao,ama mitihani ya zamani.
 
HONGERA kwa uandishi huu.
 
Rafiki yangu ana soma mzumbe mwaka wa 2 matokeo yame toka amedisko...ana fanya mpango wa ku appeal ..da namuonea sana huruma mana jana jilipia ata bumu hapati ..ALAFU NI MTOTO WA KIKE..nimsaidiaje wakuu naomben mawazo yenu
Pole sana jamani! ina maana alikuwa stagadi si ndio! kama nijuavyo hao waliomaliza mwaka wa kwanza supp zao zitafanyika mwezi Desemba baada ya mahafali. kama hutajali sema alikuwa kozi gani na mwalimu ni nani! lakini hata hivyo anaweza kulipia 20,000/= akate rufaa. ni PM tuongee kwa undani dalali-mkuu
 
Mwambie akaolewe tu... Maisha sio shule peke ake.
By the way, kwenye appeal yake kama katoa sababu za kueleweka anaweza akasikilizwa... Mfano kwanza awe na GPA angalau ya 1.7, Pili matokeo yake ya nyuma yawe ya kuridhisha na tatu atoe sababu nzito ambayo ingeweza kuathiri uwezo wake wa kusoma na kuelewa, mfano kuachwa na mpenzi hasa karibu na kipindi cha mitihani, kufiwa na mzazi n.k
 
Mkuu uo ni mtazamo wako tu
 
Lin kweny maisha hivi vitu hutokea
kama kweli ulifaulu kwa akili zako & ukachaguliwa kujiunga na chuo huna sababu ya ku disco labda kama uliugua au kupata matatizo wakati wa mitihani, bora hata sup kidogo ntakuelewa
 
kwa uandishi huu na wewe ulikuwa chuo??
 
Vipi mkuu ilikuaje adi ukaponea kudisco
 
Mwanafunzi akisha-disco "lecture" mmoja mmoja atamsaidiaje? Nijuavyo mimi maamuzi ya kum-discontinue mwanafunzi hufanywa na baraza la chuo husika na ni baada ya matokeo husika kujadiliwa katika ngazi za idara na vitivo. Lecturer ana mamlaka na matokeo kabla "hajayaachia rasmi"; akishayaachia ataweza kufanya mabadiliko tena ya status, si ya maksi kwa maelekezo ya bodi ya watahini. Mabadiliko ya maksi yanawezwa kufanywa baadae kama mtahini wa nje atapendekeza. Kama anahisi kaonewa aandike akate rufaa. Hizo "any adult conficing liars" zinafanya kazi vyuo magumashi.
 
Aisee kweli balaa kama ndo ivo
 
Disco lisikie kwa jorani tu...likija kwako utachanganyikiwa
 
Kudisko mtihani sio maisha. Matajiri kibao hawakumaliza shule hizo. Usijisifu kiaina.
 
kuna m2 ali ugua ukichaaa sorry alidisco udsm 2014
 
Kudisko mtihani sio maisha. Matajiri kibao hawakumaliza shule hizo. Usijisifu kiaina.
Ni kweli ila kinachouma ni kupotezewa time & resources....nakumbuka watu wangu wa3 walipigwa disco aisee walichanganyikiea + shombo za haters lakini leo wapo vizuri tu kimaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…