dalali-mkuu
Member
- Oct 5, 2016
- 51
- 21
dah....rafiki yangu pia alidisko pale.kamatii ilikaa
tukafanikiwa:
techniues
1.fata lecture m moja m moja wa.kla coarse
2.adult zine.za.kutosha
3.Make any adult conficing.liars.
4.Amfate lecture 1amabaye anahisi. atamsadia
sababu mzumbe kuna ile accumulation sups. ategue moja.
Wa kikeWakike au kiume.... ' ?
Sasa mkuu apo nini kifanyike!!Kudico kupo kwa aina mnbili, kwa kushindwa kihalali au kufelishwa kwasababu mbalimbali(mapenzi, chuki binafsi n.k)
Yaani huwezi kukubali kuwa hawa ni wanafunzi wa chuo, ujinga ujinga tu.Kwa huu uandishi basi hata wewe pia Ulidisko.
Rafiki yangu ana soma mzumbe mwaka wa 2 matokeo yame toka amedisko...ana fanya mpango wa ku appeal ..da namuonea sana huruma mana jana jilipia ata bumu hapati ..ALAFU NI MTOTO WA KIKE..nimsaidiaje wakuu naomben mawazo yenu
Sawa mkuuMleta mada unastahili kudisco pia!