Rafiki yangu alitaka kunipa mchumba nisiyemtaka

Mkuu, mwanamke haukumpenda unaumizwa nini na yeye kuwa na mtoto?

Kama umeshaoa endelea na maisha yako mapya, hakuna haja ya kuwaza nia ya rafiki yako.

Kama hauwezi kuishi kwa amani mpaka ujue nia yake basi nenda ukamuulize huyo rafiki yako ndiyo anayejua.

Humu unataka tupige ramli!!? Man up brother.
Mkuu unaelewa dhumuni la HilI jukwaa kweli humu watu wanaleta visa kibao vinavyowahusu bnafsi na visivyowahusu uwenda hata vya kutunga Tu sasa kama unataka Kila mtu akiwa na Jambo lake la kimapenzi akalitatue na mwenzie huko humu uwenda jukwaa litakosa thread. Lakini nakuona kama una magonjwa ya kisaikolojia hebu yafanyie kazi maana tayari umeanza kuchukia Mambo binafsi ya watu come on man
 
Boss, umekiri hapo kwamba binti hukumpenda toka ulipomuona mara ya kwanza sasa hayo mengine yasikupe shida wewe endelea kutafuta yule utakae mpenda. Huyo rafiki yako mueleze binti hujampenda maisha mengine yaendelee.
a-cut the bullshit 😂😂😂
 
Nyingne enzi hizoo mtaan kwetu tulikuwa tukienda kwny mpira baada ya mpila lazm kuwe kuna pambano la ngumi , mpira ukiisha watu wanawachonganisha mnapigana na hakuna kuamua mapka mtu azidiwe

Kwa upande wangu nilikuwa mtu wa kusambaza doz nakutest ile kupigana kimasihara nikiona nmekuzidi nguvu siku ukijaa na tunazipanga nikiona umenizid natafuta namna ya kukwepa pambano na wewe

Sasa kuna kijamaa kiliamia mtaa kwetu kina asili kama ya kisomali kinaongea sana na kina bit lile bit Linakanifanya niamni jamaa anipiga kwahyo akawa anaionea tu yaan anaweza akutukana ww unatulia tu akirudisha jibu anakupiga

Siku moja tupo uwanjan tarehe 31 December jion watu siku hiyo uwanjan hawa kuwepo wakutosha kwahy tukawa tunapiga story tu jamaa akaanza kama kawaida yake kunizingua akajiroga akaota mavi ya mwambwa akanitupia watu tuliokuwa na wakanijaza nikaingia ulingon kajamaa hata hakana nguvu nilikapiga piga baaadae nikakapiga roba mpk watu wakaja kuamua kuanzia siku hiyo kibao kika geukia kwake nikawa nakaonea haka semi kitu mbele yangu.
 
Back
Top Bottom