Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
Ni rafiki yako wa karibu sana, mmeshibana kiasi cha kushea siri zenu hata za ndani. Wewe umeolewa na shoga yako hajaolewa.
Mara shoga yako anakueleza kuwa ana mpango wa kuzaa na anaomba mbegu toka kwa mme wako kwa njia ya test tube. Hayuko tayari kulala na shemejiye kutokana na jinsi mnavyoheshimiana na hadhani kama akipewa mbegu kwenye test tube italeta madhara yoyote katika mahusiano yenu. Yuko tayari kugharimia zoezi zima la utoaji na upandikizaji mbegu kwa kukushirikisha wewe. Vilevile yuko tayari kumtunza mtoto mwenyewe bila kuisumbua familia yenu kwani ana uwezo wa kufanya hivyo.
Kina dada wa JF, kama ni wewe utamkubalia? Wadau wengine, hii mnaionaje?
Aaah Chupaku, hii stori wala hainihusu mimi ila mtu ninayemfahamu. Afterall huyo aliyenitosa hata hafahamiani na wife wangu.Ambassador, ni wewe ndiyo umeletewa ombi hilo na yule dada aliyekuacha kitambo?
Mkubalie ndio utaliona jiji. Kwa waafrika baba ni baba, atamwambia tu nenda kwa baba yako ukae nae weekend, na ukitangulia mbele za haki atakuja kudai urithi. Wazungu hawajali mambo ya genetics ila sio Africa, usithubutu.
FL1 usimbanie mwenzio hivyo, kwani itakuaffect nini?Naona si mzima akomee huko na upuuzi wake..sitaki kusikia habari kama hiyo:dizzy:
Kuruhusiwa kuafanyaje? Kama kuchangia mada wote tunakaribishwa, kama kupandikiza mbegu kwa mke wa rafiki yako hiyo mimi sijui......hivi ni kwa wadada tu, midume haturuhusiwi?
FL1 usimbanie mwenzio hivyo, kwani itakuaffect nini?
Naona si mzima akomee huko na upuuzi wake..sitaki kusikia habari kama hiyo:dizzy:FL1 usimbanie mwenzio hivyo, kwani itakuaffect nini?Sitaki hata kusikia hiyo habari ......
Mie naona huyo rafiki ni selfish...yanini sasa kuzaa mtoto na kumlea bila baba...mambo mengine bana!!!Ni rafiki yako wa karibu sana, mmeshibana kiasi cha kushea siri zenu hata za ndani. Wewe umeolewa na shoga yako hajaolewa.
Mara shoga yako anakueleza kuwa ana mpango wa kuzaa na anaomba mbegu toka kwa mme wako kwa njia ya test tube. Hayuko tayari kulala na shemejiye kutokana na jinsi mnavyoheshimiana na hadhani kama akipewa mbegu kwenye test tube italeta madhara yoyote katika mahusiano yenu. Yuko tayari kugharimia zoezi zima la utoaji na upandikizaji mbegu kwa kukushirikisha wewe. Vilevile yuko tayari kumtunza mtoto mwenyewe bila kuisumbua familia yenu kwani ana uwezo wa kufanya hivyo.
Kina dada wa JF, kama ni wewe utamkubalia? Wadau wengine, hii mnaionaje?
Kwanza ana adabu sana huyo. Vinginevyo, ungeshasikia wamezaa longi! Kama ni rafiki hivyo hakuna haja ya testtube,, mlengeshe tu kwa mmeo abanjuliwe. hakuna tofauti, mbegu za mmeo kwenye testtube na direct pumping ya zakali kwa rakifi yako. Walengeshe mmeo na rafiki wapeane ma-zali.