Rafiki yako anapokuomba kuzaa na mme wako

Ambassador

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
933
75
Ni rafiki yako wa karibu sana, mmeshibana kiasi cha kushea siri zenu hata za ndani. Wewe umeolewa na shoga yako hajaolewa.

Mara shoga yako anakueleza kuwa ana mpango wa kuzaa na anaomba mbegu toka kwa mme wako kwa njia ya test tube. Hayuko tayari kulala na shemejiye kutokana na jinsi mnavyoheshimiana na hadhani kama akipewa mbegu kwenye test tube italeta madhara yoyote katika mahusiano yenu. Yuko tayari kugharimia zoezi zima la utoaji na upandikizaji mbegu kwa kukushirikisha wewe. Vilevile yuko tayari kumtunza mtoto mwenyewe bila kuisumbua familia yenu kwani ana uwezo wa kufanya hivyo.

Kina dada wa JF, kama ni wewe utamkubalia? Wadau wengine, hii mnaionaje?
 
Kwanza ana adabu sana huyo. Vinginevyo, ungeshasikia wamezaa longi! Kama ni rafiki hivyo hakuna haja ya testtube,, mlengeshe tu kwa mmeo abanjuliwe. hakuna tofauti, mbegu za mmeo kwenye testtube na direct pumping ya zakali kwa rakifi yako. Walengeshe mmeo na rafiki wapeane ma-zali.
 
Ambassador, ni wewe ndiyo umeletewa ombi hilo na yule dada aliyekuacha kitambo?
Mkubalie ndio utaliona jiji. Kwa waafrika baba ni baba, atamwambia tu nenda kwa baba yako ukae nae weekend, na ukitangulia mbele za haki atakuja kudai urithi. Wazungu hawajali mambo ya genetics ila sio Africa, usithubutu.
 
Aaah Chupaku, hii stori wala hainihusu mimi ila mtu ninayemfahamu. Afterall huyo aliyenitosa hata hafahamiani na wife wangu.
 
this thing sounds utopian...au kama ipo ni kwa machizi na mataahira tu...NI MAONI TUU WADAU
 
kwanza i dont believe in friendship ya kihivyo....................sina shoga wa kumwambia masuala yangu yote binafsi, wala sitaki mtu kuja kuniambia yake vile vile.

nikiwa na la kusema nafanya kwa dada wa damu..........kwisha kazi
 
Ambassador, hii ni danganya toto. Huyo rafiki yako anayeomba kuzaa na mumeo si ajabu wana uhusiano wa kisirisiri. Mkubalie apandikizwe hizo mbegu za kiume uone kasheshe yako, kwanza watakuwa ni wapenzi na si ajabu wakojakuoana baadae. Amua lakini baadae usije kujilaumu.
 
Kwani hakuna bank za hizo bidhaa akachukue huko? Kama alivyotangulia kusema mdau, ategemee mtoto kuja weekend kusalimia plus mirathi na vurugu. Nimewahi kuwa na ndugu wa karibu ambaye alizaa na 'mmama', kwa madai ya huyo 'mmama' (kulikuwepo na relationship japo umri wa mdada ulikuwa umeuzidi wa kaka)kutokuleta usumbufu wowote coz kama ni hela ya kutunzia mtoto siyo tatizo kwake (na kweli alikuwa nazo). Mtoto alipozaliwa, hicho kitimtim cha mama kwa mkaka, palikuwa padogo! Anakaba kweli kweli, hata pa kuchomokea bro hapaoni tena.
 
Ni rafiki yako wa karibu sana, mmeshibana kiasi cha kushea siri zenu hata za ndani. Wewe umeolewa na shoga yako hajaolewa.

Mara shoga yako anakueleza kuwa ana mpango wa kuzaa na anaomba mbegu toka kwa mme wako kwa njia ya test tube. Hayuko tayari kulala na shemejiye kutokana na jinsi mnavyoheshimiana na hadhani kama akipewa mbegu kwenye test tube italeta madhara yoyote katika mahusiano yenu. Yuko tayari kugharimia zoezi zima la utoaji na upandikizaji mbegu kwa kukushirikisha wewe. Vilevile yuko tayari kumtunza mtoto mwenyewe bila kuisumbua familia yenu kwani ana uwezo wa kufanya hivyo.

Kina dada wa JF, kama ni wewe utamkubalia? Wadau wengine, hii mnaionaje?
Mie naona huyo rafiki ni selfish...yanini sasa kuzaa mtoto na kumlea bila baba...mambo mengine bana!!!

anyway mie sidhani kama kuna rafiki yangu atajaribu kuniomba hii kitu unless if she is out of her F.mind....
 
mmmmmmmmh ni ngumu hiyo, kwa sababu yeye anasema tu kwa kuwa anahitaji mtoto lkn baadae mtoto akikuwa itakuwa vurugu sana. Na hasa huyu baba akijua itabidi wafanye kweli na huyo dada kwani atajua anampenda sana isipokuwa anamuogopa shoga yake. Kwangu sitakubali

habari ndiyo hiyo!:A S-heart-2:
 
Kwanza ana adabu sana huyo. Vinginevyo, ungeshasikia wamezaa longi! Kama ni rafiki hivyo hakuna haja ya testtube,, mlengeshe tu kwa mmeo abanjuliwe. hakuna tofauti, mbegu za mmeo kwenye testtube na direct pumping ya zakali kwa rakifi yako. Walengeshe mmeo na rafiki wapeane ma-zali.

Umenichekesha sana KN,

Napata picha ya mwaname mkware mwenye uchu, halafu anataka kuhalalisha uchu wake kwa siasa nyiiingi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom