Rafiki wa mume wangu ananitaka

...waungwana wala msihangaike na uyo mtu,anatuyeyusha tuu kashaingia kwenye kumi na nane za uyo njemba anajifanya eti anataka ushauri!
 
hiyo ingenitokea mim saa hizi ungeshakuta nimemkomesha huyo shemeji siku nyingii na mume wangu lazima ningemwambia sbb huyo hana tena sifa za kuwa rafiki ya mumeo.
Yaani ningehakikisha urafiki wao unakufa sbb kama anaweza kunitongoza mim je siku mume wangu akitaka kunisaliti ataweza kumuonya kweli au ndo atamsupport.
Kwani kakuonaje hadi apate ujasiri wa kukutongoza wakati anajua kaoa na wewe anajua umeolewa?Mim ningechukulia kuwa kanitukana.
 
....Amekuwa akinishawishi..... Mi nimemgomea kabisaa.
Asa nisaidieni.....Naombeni ushauri!

tell-tale signs za sitaki-nataka hizi..; looks like mdada katongozwa si mara moja, na bado anajishauri na kuomba ushauri badala ya kutoa uamuzi na kuusimamia... very sad indeed
 
usiuharibu urafiki wa mumeo na swahiba wako, huwezi jua wameanzaje urafiki wao, ila chukua urafiki wa "bwana rula" utakusaidia, na huyo shemeji usintege kwa kukaa kihasara hasara, afu pia jua hili
"CHUMA HULIWA NA KUTU, CHA MTU HULIWA NA MTU."
ITS VODACOM.
Kazi Ni Kwako!
 
Wewe ni MKE wa mtu ambaye mumeo anasafari sana na yeye ni MME wa mtu ambaye mkewe yupo mkoani, tatizo lipo wapi kupeana amana. Kumbuka kupeana ni KIKOA. Aidha mpaka umelileta hapa tayari mmeshapeana sanasana unataka kuona wanaJF watakuunga mkono au la. DAda endelea kwa raha zako ufaidi manii mpya za nyamaume nyingine. Kwanza kwa nini ule maharage kila siku tena kwa kubabia hadi mumeo arudi safari? Endelea kufaidi matunda ya uhuru; naam uhuru wa mumeo kusafiri kwa sana.
 
Yani mpaka umeandika huu huzi haujamtumia mmeo msg kumwambia? Au unamtaka na wewe?
 
yaani suala hili ni la kutafuta ushauri kweli..????? Mhhh.inaelekea wewe ni wale sitaki nataka
Aargh mianamke ya aina hii bana..ndo mana bado niponipo
 
Umepewa bure toa bure,

naona huyo jamaa umpe akamue, isitoshe sio sabuni kwamba mumeo akija atakuta imepungua au imeisha kabisa, tena ndo atakuta imeumuka!! So plz don be selfish.
 

Na kwanini apokee sim ya mtu km huyo, mtu anaetaka kuharib ndoa ya watu, yaani ikiwezekana ata akija kutembea nyumban apo haumfungulii ata mlango, lazma aisome number, kwanini wanawake hamuwi straight, mchane mtu live asiwaze hata kurudia mara ya pili. Mabinti wote walojaa mjini humu hajawaona mpaka wake za watu, istoshe si ana mke, anataka nn ambbcho kwa mkewe hapewi
 
Asa nisaidieni, je nimweleze mume wangu, ila naogopa kuharibu mahhusiano yao, na vlvl naogopa siku mume wangu akijua km jamaa ananitokea! Naombeni ushauri!
[/color]
 
yaani ni kumkataa makavu live, usipindishe maneno wala kujiumauma. ndio inawagharima dada zetu kuweni na msimaamo.
 

Ebu na mimi nikuulize swali, kati ya uhusiano wa wewe na mme wako na uhusiano wa mme wako na rafiki yako,ni upi unataka udumu??? Kama kweli ungekuwa unampenda mme wako, usingeweza kudhubutu hata siku moja kukaa na kuongelea mambo ya mapenzi na huyo rafiki wa mme wako. Alafu inaonekana kuwa wewe pamoja na huyo rafiki wa mme wako hamumuheshimu huyo mme wako. Hapo jibu unalo wewe, je kweli unampenda mmeo??
 
Hivi weye mwanamke, mbona una hofu ya mambo yajayo? Usihofu kwa ajili ya kesho. Iache ijishughulikie yenyewe. Sikia; Omba ruhusa kwa mzee kuwa unatamani shemeji huyu aje kwa dinner. Andaa msosi mzuri kabisa, tena kwa ufundi wako woote. Katika kula jamaa akianza tu kukusifia uandaaji wako mzuri ndipo unapasua jipu pwaa!
Shemeji gani weye unanitongoza nduguyo akitoka? Nakuambia, kama tonge litakuwa mdomoni, mtakuwa na kazi kubeba kupeleka hospitali. Hatakaa tena arudie hata kwa mtu mwingine na mumeo atakuheshimu na kukuamini kuwa hata akiwa safarini upo salama salmini.
 

Umemaliza!
 
keshakulegeza magoti???
Ukiona unashindwa mkataa mtu hadi usaidiwe, jua kuna tatizo mahali.

NENO...........au umeshakubali ila bado unajishauri uendelee au umpotezee.......
 
Toa vyombo wewe uje utupe mrejesho hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…