Rafiki wa mume wangu ananitaka

mpe. Vinginevyo huhitaji kuuliza ulimwengu. Ukishamgea subiri majibu na mabadiliko makubwa for the rest of your life.
 
utaharibu ndoa yako usipokua makini, siku mmeo akigundua, atajua umeshagongwa, mweleze ukweli ukimficha, umearibu ndoa yako.
 
Kuwa karibu na mkewe, jaribu kwa kilanamna uwe na muda private na mkewe, kama akiendelea mpe warning kuwa utamueleza mkewe.
 
Mimi huwa nashangaa watu kuomba ushauri hata kwa mamboa yaliyo straight kuyachukulia uamuzi. Sisi wanaume huwa tunaangalia hata mwanamke anavyo behave then tunatupa king.

Anyway kwa sababu umeomba ushauri basi pokea huu " MPE SHEMEJI YAKO AMEGE TU,WALA HAINA ALAMA HIYO KWAMBA MUMEO ATAJUA NA ISITOSHE HATA MUMEO AKIWA SAFARINI HUWA ANAMEGA SANA NA WALA HUJAWAHI KUIKUTA YAKE INA ALAMA YA KUMEGA. MPE SHEMEJI HIYO TENA NAKUAMBIA URAFIKI NA MUMEO UTAKUWA KARIBU SANA MPAKA ATAKUWA RAFIKI WA SHIDA NA RAHA"
 
Kama hakuona vibaya yeye wewe uone vibaya ya nini kumueleza mumeo,kama mie wala nisingengoja ushauri as long as unavyo vithibitisho vipo unamchelea niniiiiiiii?
 

ANGALIZO;
Inawezekana mumeo anajaribu kukupima imani; and nahisi inaweza ikawa planned kuupima uaminifu wako. so wanaweza wakawa wanakuchezea dili na ukaikosa ndoa.

mie nimemaliza
 
Usijaribu kumkubali, utaharibu maisha yako, jiepushe nae, Shetani huyo....!
 
mkubali na umuaadi pa kukutana na muambie mumeo mkutane hiyo sehemu umuonyeshe uchafu wa rafiki yake .
 

bomba la ushauri,lifanyie kazi.
 

keshakulegeza magoti???
Ukiona unashindwa mkataa mtu hadi usaidiwe, jua kuna tatizo mahali.

Kongosho...asante sana...umesema nilichotaka kukisema. Mwanamke mwenyewe akishindwa kuwa bold enough kusema "NO" mpaka asaidiwe na mumewe hapo kuna tatizo tena sio dogo.
 
Hii mambo inakera! Jitahidi usolve mwenyewe hiyo issue. Usimchekee kabisa huyo shem wako. Hivi wanaume mkoje nyie!!
 
Hii mambo inakera! Jitahidi usolve mwenyewe hiyo issue. Usimchekee kabisa huyo shem wako. Hivi wanaume mkoje nyie!!

I guess na wanawake wa hivi pia wapo..!!!, anyway it takes two to tango.
 
aaaaggggrhh! Nyie mmezidi bhana..
Ni kweli sababu ni wanaume wengi ndio huwa rahisi kuwaanza wanawake na wana tamaa zaidi ila kwa kuwasaidia wanaume wa hivi na nyie kina dada inabidi kuwa wakali na kutokuwapa upenyo yaani ukiona tabia za hivi tu unapiga na marufuku hakuna kusogea karibu yangu kama rafiki yako hayupo (unamwambia rafiki yako ni yule kwangu unafata nini) yaani hakuna kumpa nafasi ya kutia neno la pili zaidi ya kwaheri na tusionane baadae
 

hilo ndio la msingi maana ukicheka na ngedere atakufata hadi toilet..
 
usiwe ****,hivi wanawake mkoje?badala ya kuogopa ndoa yako isiharibike,unaogopa kuvunja urafiki wao!!stuka mwanamke
 
Inaonekana na wewe unajiachia sana manake mwanaume simjinga hadi aanze kukutongoza ni kwamba tayari kaona kamwanya cha kufanikiwa maombi yake.Cha kufanya kwanza embu kaa kidini kwanza la sivyo yatakushinda

Hivi baadhi yenu nyinyi mijanaume huwa hamuna haya wala vibaya. Ndio wale munafikiri kwa kutumia masaburi. Na wala siyo lazima aonyeshwe ishara ye yote ile, mengine huwa inahemkwa tu bila ya sababu au labda hizo sababu huwa anazijua mwenyewe.
 
Waswahili walisema usipoziba ufa, utajenga ukuta. Angalia uisje ukajikuta badala ya kuziba nyufa unajenga ukuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…