Ariella A.K
Senior Member
- Dec 23, 2011
- 198
- 60
Jaman, hebu nisaidieni ktk hili, mimi nimeolewa na nnampenda sn mume wangu, sijawahi kumsaliti tokea nimekutana naye.
Hivi keribuni amenitambulisha kwa rafiki yk ambaye alionekana mstaarabu kumbe mnafiki. Rafiki yake huyo ameoa ila cha kushangaza ananitaka mimi wakati mi ni mke wa mtu. Amekuwa akinishawishi kwa kw mme wangu ni mtu wa safari na yeye mke wake anafanya kazi mkoani. Mi nimemgomea kabisaa.
Asa nisaidieni, je nimweleze mume wangu, ila naogopa kuharibu mahhusiano yao, na vlvl naogopa siku mume wangu akijua km jamaa ananitokea! Naombeni ushauri!
.keshakulegeza magoti???
Ukiona unashindwa mkataa mtu hadi usaidiwe, jua kuna tatizo mahali.

Kulegezwa magoti ndo inakuwaje tena? Mi nafikiri yeye anao uamuzi. Inatakiwa aseme ameamua nini na sio tumshauri. Kama anampenda au amemuonyesha shemeji yake dalili hizo, ushauri wa nini sasa?keshakulegeza magoti???
Ukiona unashindwa mkataa mtu hadi usaidiwe, jua kuna tatizo mahali.
unaogopa kuharibu uhusiano gani na umesha sema mwenyewe kua ni rafiki mnafiki?
Unataka waendelee kua marafiki ili iweje? Mwambie mume wako and get him out of your life.
unamaanisha yawezekana alishamdondokea shemeji?
Achana nae na lazima umdokezee mme wako juu la hilo, bora urafikiwao uvunjike kulikoni wewe kuingia matatani, pindipo akijua mme wako bila ya kumwambia wewe.
Kulegezwa magoti ndo inakuwaje tena? Mi nafikiri yeye anao uamuzi. Inatakiwa aseme ameamua nini na sio tumshauri. Kama anampenda au amemuonyesha shemeji yake dalili hizo, ushauri wa nini sasa?