Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,665
- Thread starter
- #21
Inawezekana lakini tutapata uhakika pale tutakapo fanya utafiti
na tafiti zenyewe zitaanza kwa ku-define nini maadili na nini mmomonyoko wa maadili
then katika ripoti lazima waangalie na huko vijijini watu hao walikotoka wamekuacha kusafi?
kwa mujibu ya hypothesis yako ni kwamba muingiliano wa watu ndio unasababisha
basi kama ni kweli tafiti itaonesha kua kule vijijini things haven't change or have improved
Mwali
Nikujibu kipengele cha kwanza, maadili ni utii wa mira na desturi za jamii fulani, kwa hiyo ukosefu wa utii kwa mira na desturi husika ni ukosefu wa maadili.
Kuhusu comparizon ya mjini na vijijini, niseme kwa kifupi tu haya ni maeneo mawili tofauti, vijiji tofauti vilivyo mbali sana kijiografia kwa mfano vijiji vya tarime na vile vya kyera vinaweza vikawa vinafanana sana mira na desturi zao kuliko miji iliyo jirani na vijiji hivyo. the same it goes, characters za watu wa mwanza mjini zinafanana zaidi na za watu wa dar es salaaamu kuliko vijiji vilivyo katika mkoa wa mwanza.
Rural looks better.