Rafiki wa kweli

Kwani hujajua target yake????

Ukishatanguliza habari ya mauzinzi kwa maisha haya hatufiki mbali, kuna mambo mengi ya ku share, lakini sisi tumesha crem kitu kimoja tu vichwani mwetu,
 
Ukishatanguliza habari ya mauzinzi kwa maisha haya hatufiki mbali, kuna mambo mengi ya ku share, lakini sisi tumesha crem kitu kimoja tu vichwani mwetu,

Mamkubwa mbona wajishitukia.
 
Duh natamani kama ningepata uzoefu kutoka kwako. Wewe umebobea biashara gani? Maana hapa kausingizi kamegoma.
 
mimi
nina miaka 26
naruhusiwa.

Yes! unaruhusiwa, naamini Jamii forum ni kijiji, ambapo kuna watu wa kila aina na kila fani na ujuzitofauti tofauti so tuki share huenda ikawa ndio njia ya kuleta mabadiliko katika maisha yetu haya ya wenye nchi!. siamini kama umri unaweza kuwa kipimo cha maarifa, so karibu.
 
Duh natamani kama ningepata uzoefu kutoka kwako. Wewe umebobea biashara gani? Maana hapa kausingizi kamegoma.

...................................................................................................
 
Watanzania akili zetu zimeoza kwa kuwaza ufuska....
Tuna amkia ufuska tunalalia ufuska na kutwa nzima tunashindia ufuska....ukisikiliza muziki watu wanimba ufuska ,ukiingia kwenye mitandao ya kijamii watu wanapost ufuska...ukikaa kwenye vikundi vya rika zote maada zinazopendwa ni ufuska tu...na hata humu JF mada zenye kujenga na kukuletea mabadiliko kama sio mafanikio watu wanazipa kisogo na badala yake wanakesha waki discuss ufuska.....
Mada pendwa ni mbinu za kumfikisha mwanamke kileleni....namna ya kuchelewa kukojoa....ukubwa wa madushe...na zingine nyingi za kishenzi ndio maana wengi wameshindwa kumuelewa mtoa mada....katika taifa kama hili na watu wenye fikra mbovu kama hizi bado tuna safari katika vita ya kupambana umaskini vile vile tuna kwamisha juhudi za shirika la afya duniani za kupambana na maradhi hatari ya HIV....ndio maana rais anaamua kila mara akajipumzikie huko nje ya nchi....
 
Na mimi nahitaji marafiki, women only!
Age from 18 to 23 ONLY..
pm me if you are seriously touched...
 
Umeolewa? Tuanzie hapo maana kwa age yako kugawa namba si bure...
 
Umeolewa? Tuanzie hapo maana kwa age yako kugawa namba si bure...

Kuolewa au kutoolewa hakuna uhusiano na hitaji langu, sina mambo mengine behind the scene, kitu ambacho me nimekiweka wazi kwamba ni mtu yeyote ambaye yuko interested ku share na mimi kile nilichokieleza kwenye thread.
 
Ha ha ha yaani mpaka uokote vocha? usawa wenyewe huu nani wa kupoteza hiyo vocha?

Mimi nataka urafiki wa kusocialise tu, sio kibiashara wa kiprofesional...just ku socialize tu vipi nijeee?
 


Ni maeneo yapi ambayo umepata mlango wa biashara. Je kabla uliplan kufanya biashara gani? Je ulifanya research ya kutosha? Je usimamizi ulikuwaje? Katika hiyo biashara uliyokwisha ifanya ulisha experience kufail? Je ulijifunza nini katika kufail kwa hiyo biashara? May be it will be good start.
 

Karibu,just friendship for benefits not kugegedana ni pm.
 
Umri wako ni 40-45, tafadhali chagua sahihi...
 


I beg to differ, kila kitu na mahali pake. Ukienda majukwaa tofauti utaona mada husika. Mfano, nenda sc & tech. na utaona watu wanajadili nothing but sc & tech. sasa huyu 100bytes ameleta urafiki wa kibiashara mahali sio pake. MMU is all about friendship and relationships...!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…