Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
- Thread starter
- #41
hebu nieleze kwa case yangu mtu atakufaje?Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro amesema hadi sasa hakuna watu waliojitokeza kutambua au kulalamika kwamba wamepoteza ndugu zao kufuatia kuwapo kwa idadi kubwa ya miili inayookotwa maeneo mbalimbali.
- IGP Sirro ameeleza kutokana na hali hiyo, jeshi hilo linaendelea kupeleleza na baada ya hapo utaratibu mwingine utafuatwa
Zaidi, soma => Polisi wasema licha ya miili mingi kuokotwa, hakuna mtu watu waliojitokeza kuitambua.
Jifunze kupitia ujinga wa mtu lol