Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,541
- 101,656
ok niko full ,ni kijiji gani au mkoa gani? napenda kufanya tour kama hiziunaruhusiwa hata na mic ya kuhoji watu haina shida kabisa mkuu
ok niko full ,ni kijiji gani au mkoa gani? napenda kufanya tour kama hiziunaruhusiwa hata na mic ya kuhoji watu haina shida kabisa mkuu
Mkuu, unajua kuwa PM ni kifupi cha jina langu, yaani Petro Mselewa? Ha ha ha ha ha nitakujanjoo pm kuthibitisha ushiriki wako
Miss natafuta nipe tenda ya kuwafanyia interview
sawa mkuu ngoja wajeMiss natafuta nipe tenda ya kuwafanyia interview
eneo utalijua usijaliok niko full ,ni kijiji gani au mkoa gani? napenda kufanya tour kama hizi
ahahaaa acha uswahiliMkuu, unajua kuwa PM ni kifupi cha jina langu, yaani Petro Mselewa? Ha ha ha ha ha nitakuja
niambie kabisa,mayb nishafika ,maana nami kwa kuzurura tu sijamboeneo utalijua usijali
twende pmniambie kabisa,mayb nishafika ,maana nami kwa kuzurura tu sijambo
sawa nakusubiritwende pm
Haya Kama haujaisikia mwanakwetu!! Miye tu kutoa Habari!!bahati njemaahaaaa acha ujinga wewe
ahahaaaa mshazoea mambo magumu tatizosikuizi JF kuna offer, u can't refuse..lol
lory hapanaMi nina Lori nafikiri tutatumia kama siku tatu kufika huko kwenu kwa sababu huwa linaharibika haribika njiani, nipe nafasi hii tupate kuenjoy na adventure ya kufunga mwaka
acha kutishia watu bwana tanzania nchi ya amaniHaya Kama haujaisikia mwanakwetu!! Miye tu kutoa Habari!!bahati njema
Huyo nenda mbinguni utampata!!natafuta rafiki wa jinsia yoyote kusafiri nae kwenda mkoani kwetu anzia tar 15-28 dec
sifa namba moja
awe na gari .mafuta tutachangia ila akiweka mwenyewe itapendeza zaidi
atakula na kulala bure japo ni kijijini ila pako vizuri.akitaka kulala hotelini hoteli zipo ila atalala mwenyewe
awe na miaka 34 na kuendelea hata mzee haina shida ataenda kupiga story na wazee wangu
Miss Natafuta lory la ukweli usiwe na wasi lina kitanda cha kulala kabisa kama ukisikia usingizilory hapana
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro amesema hadi sasa hakuna watu waliojitokeza kutambua au kulalamika kwamba wamepoteza ndugu zao kufuatia kuwapo kwa idadi kubwa ya miili inayookotwa maeneo mbalimbali.acha kutishia watu bwana tanzania nchi ya amani