Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
natafuta rafiki wa jinsia yoyote kusafiri nae kwenda mkoani kwetu anzia tar 15-28 dec
sifa namba moja
awe na gari .mafuta tutachangia ila akiweka mwenyewe itapendeza zaidi
atakula na kulala bure japo ni kijijini ila pako vizuri.akitaka kulala hotelini hoteli zipo ila atalala mwenyewe
awe na miaka 34 na kuendelea hata mzee haina shida ataenda kupiga story na wazee wangu