Rafiki wa kuchat, kushare experience na mawazo.

Mbuty

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
413
Reaction score
240
Hello, wizzy hapa natafuta rafiki wa jinsia yeyote. Mimi ni mwanaume, 30 ninafanya kazi. Graduate wa chuo wa shahada ya fedha na benki. Ninapenda kuogelea, muziki, kusafiri, kwenda mbugani, kuwa na furaha na kusaidia. Kama unatamani kuwa rafiki tafadhari nitumie ujumbe au namba PM nami nitakujibu. Asanteni
 
Hizo hazina dili siku hizi jichanganye humu humu utafaidika kuliko hao marafiki ambao sometimes watakuwa ni pasua tuu
 
OK nitakua Rafiki yako lakin sipendi kukuopana ata buku.
 
Okay nashukuru. Siwezi kuwa jf muda wote na ifm nilikuwa na marafiki wengi tu. We keep on having friends ktk kila sphere of life. Okay karibuni
 
OK nitakua Rafiki yako lakin sipendi kukuopana ata buku.

Mikopo inatolewa na taasisi husika brother na sio jf, infact i'm into friends sio mkopo hivyo uwe na amani. Najitosheleza niko vizuri kwa utukufu wa Mungu.
 
Hizo hazina dili siku hizi jichanganye humu humu utafaidika kuliko hao marafiki ambao sometimes watakuwa ni pasua tuu

Sawa@mshana nimekuelewa nashukuru.
 
Hizo hazina dili siku hizi jichanganye humu humu utafaidika kuliko hao marafiki ambao sometimes watakuwa ni pasua tuu

Wee......subiri........

njoo mwaya Mbuty.........yaani nilikuwa natafuta mwalimu wa swimming kweli.........nimefurahi sana kukupata............
 
Last edited by a moderator:

Kumbe kuna dili hapa...naombeni kazi ya ya kukulinda ukiwa unafundishwa kuogelea just in case mwalimu akipata 'short call'
 
Wee......subiri........

njoo mwaya Mbuty.........yaani nilikuwa natafuta mwalimu wa swimming kweli.........nimefurahi sana kukupata............

Hahaha haya mwaya thanks. Usiogope mawimbi lakini na baridi kwakuwa kipindi hiki hali ya hewa kama russia!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom