Rafiki wa kike

Hahaaa km una sifa hizo manake utakuja pm then ntakutajia zangu tuone km tunaendana ili tumove on mama facebook
 
Haaaanh samahan nilikua nauliza tu haikumanisha nimeshafall nawe
 
Wakuu nahitaji rafiki wa kike mwenye umri 18 mpk 24 ambaye km tutaendana kitabia tunaweza kwenda zaidi ya urafiki...awe maji ya kunde au mweusi urefu wa wastani asiwe mnene sana..elimu kuanzia form four...aliye tayar anitumie msg binafsi.

Mkorogo umeniharibia...
 
yaani unamtafutia humuhumu jf au unafanya masikhara?....utakapompata mmoja ndipo utaelewa kwa nini nimekuuliza hivi.
 
Hahaaa najua wengine wana ndugu jama na marafiki wenye vigezo tajwa..wanaweza wasaidiaa..they will jus act as messengers
 
Wakuu nahitaji rafiki wa kike mwenye umri 18 mpk 24 ambaye km tutaendana kitabia tunaweza kwenda zaidi ya urafiki...awe maji ya kunde au mweusi urefu wa wastani asiwe mnene sana..elimu kuanzia form four...aliye tayar anitumie msg binafsi.

Vipi dada yako kama ana hizo sifa ni pm tafadhari.
 
Mkorogo umeniharibia...

Hahaa mkorogo Wako n ule wa kuchubua uso sehemu zngine zinabaki nyeusi au ndo umechubua mwili mzm...na maana ntangalia na madhara ambayo tayar unaweza kuwa umeyapata kulingana na aina ya mkorogo labda ntaweza badili baadhi ya vigezoo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…