Rafiki wa kibiashara anatafutwa

bullion

JF-Expert Member
Aug 23, 2014
309
112
Wakuu heshima zenu,

Kuna biashara moja ambayo nimeifanyia uchunguzi kwa muda mrefu, na nimegundua ni biashara nzuri sana, ila inahitaji mtu kujitoa kwa hali na mali, kama mnavyofahamu biashara ni risk taking.Kwa ajili ya kupunguza risk, nimefikiria kutafuta mtu ili tuweze kuwa na share.Hii biashara inahusiana na mambo ya madini ya dhahabu ila kwa usiri sitoitaja hapa, na eneo la utekelezaji ni huku chunya, ila atakayetaka kujua zaidi anipm.

NB:Inahitaji mtaji usiopungua 10m

Nawasilisha
 
Nimekusoma mkuu. Ni uchimbaji au ununuzi? Niko tayari kama uko serious
 
Dunia ya sasa ni biashara huria hakuna biashara inayoweza kuwa siri ikiwa siri kuna uwalakini chungu sana matapeli wengi humu ndani

Mkuu sio siri kama unavyodhani, basi ngoja niweke wazi ni kusagisha mawe ya dhahabu, halafu wewe unachukua yale marudio, baaadae unayauza. Ni vizuri pia ukinunua dhahabu ya wateja wako kidogo kidogo, ila hiyo ni option yako. Lengo hapa ni kusagisha, na kulundika marudio, kisha baadae kuyauza
 
Nalia mtu hapa sasa hivi
Mimi sio tapeli, mimi ni engineer mwenye uzoefu na kazi za uchenjuaji. Kwa maelezo zaidi nipm unijue kwa undani. Kwa sasa ni muajiriwa wa serikali, ila nataka kutafuta kipato zaidi kwa kazi hiyo. Mwenye nia ya dhati anipm tuongee kwa undani
 
Kwa nini usiuze wazo hilo kwa ndg na jamaa zako wakaribu? Wao hawataki utajiri.? Unataka mtu aku-PM ili umpige vizuri.

NB: Usiri ni moja kati ya indicators za msingi kabisa katika kutapeliwa.
 
Kwa nini usiuze wazo hilo kwa ndg na jamaa zako wakaribu? Wao hawataki utajiri.? Unataka mtu aku-PM ili umpige vizuri.

NB: Usiri ni moja kati ya indicators za msingi kabisa katika kutapeliwa.
bora mkuu umemwambia maana katika thread yake aliposema neno siri mm nimeshtuka sana aisee
kama biashara ni siri basi iko kazi
 
bora mkuu umemwambia maana katika thread yake aliposema neno siri mm nimeshtuka sana aisee
kama biashara ni siri basi iko kazi
Wakuu nilikuwa bize kidogo na kazi za umma.Sio kwamba ni siri, nimeshafunguka hapo juu. Sio kwamba sijawaeleza watu wangu wa karibu, nimeshawaeleza, ila kwa sasa hawapo vizuri, ndo nikafikia wazo la kuwashirikisha wadau wengine
 
Weka contact na wapi unapatikana
Nimeshaeleza hapo juu, kama upo serious nipm, na kama utakuwa tayari tafuta hata mwanasheria wowote kabla ya utekelezaji kuanza. Nipm ntakupa contact zangu zote, hadi za mwajiri wangu na uende ukathibitishe. Usihofu kabisa mi ni engineer ninayejua thamani yangu na utu wangu kwa jamii.
 
Back
Top Bottom