Ha si mtu mzima huyo jamani tatizo alipokuwa mtoto alikuwa geti kali na sasa ndio anaanza mapenzi ukubwani mwacheni aji enjoy na hogo la jang'ombe jamani huyo si mtoto alitakiwa keshaolewa na angekuwa na watotoInasemekana huyo binti yuko kwenye mid 30's
Nimepata ujumbe kutoka Girlfriend wangu huko Ughaibuni anaomba ushauri. Yeye ana rafiki yake mmoja (Mtoto wa waziri) anaishi na boyfriend mmarekani mweusi ambaye ni loser fulani hivi. He does odd jobs, ni ex felon (was imprisoned for like a month and put on supervised release 5 years; restitution of $15,000 due to embezzlement of funds by bank employee Aiding and Abatting). She takes care of him monetary wise/entertainment etc. Huyo binti ana elimu nzuri tu anafanya kazi ya kawaida. Wanaishi in a not so good neighborhood in a not so good apartment.
Swali lake ni hili...amshauri vipi rafiki yake (bila ku hurt her feelings)aachane na huyo bwana ambaye ni kama anamtawala sana. Uwezo wa kurudi bongo anao, baba yake ni waziri, sio kwamba wanaishi maisha ya shida hapa bongo.
Your comments are wellcome please
nikweli bro wabongo wana soo kwelikwelikweli,huyo demu yuko state amemtumia ujumbe anamuomba ushauri jamaa yake yuko bongo kama si umbea ninini!hapo ndo utashaa sijui ni ili aonekane yeye mtiifu au vipi,kesho jamaa apate ujumbe demu wake mtu wa kuuza kwenye makasino atafanyaje?achaneni na maisha ya watu huyo demu mwenyewe mnasema yuko mid 30s tayari umri huo kajichokea eti ooh arudi bongo baba ake waziri,mambo ya kizamani hayo,amwambie huyo demu wake akae kimya maana ampe ushauri rafiki yake amuache msela then rafiki yake akaenda msimulia jamaa yake lazima kitawaka na hao black american thugs hawachelewi kumpa mtu shaba au kisu cha tumbo,kesho tunasikia mtanzania auwawa U.S.A.nyie pelekene mambo yenu ya manzese nchi za watu.Mimi hapa wabongo ndo waga wananiboa....kwanini mnapenda ingilia private life ya watu wazima na akili zao....we wafikiri huyo binti hana akili timamu ya kutambua anachokifanya.....leave her alone..so nyie mwafahamu why anapenda na yupo na huyo mnaemwita looser????....so long as sijaona popote pale kwamba jamaa anamfunza binti kuvuta unga au ulevi wa kupindukia...otherwise hamna sababu ya msingi ya kumtaka huyo binti aachane na mpenzi wake......cha zaidi mkuu ukisikiliza sana stori za watoto wa kike utakuja juta the end of the day.. maana watakupoteza kwenye kona na 120 speed.
Wan JF, wabongo wengi wakiwa Ughaibuni huwa ndiyo zao, si semi huyo binti ni mjinga ila huwa wanafanya hivyo ili kupata uraia wa huko majuu. Baada ya muda itabidi wafunge ndoa then wanaachana tayari wkati huo binti wa kibongo kashapata uraia wa Marekani na anakuwa na haki zote bila bughuda. Kwa hiyo huyo binti ni mjanja maana analenga kupata makazi huko majuu na ndiyo lengo lake tofauti na jinsi mwenzake anavyomfikiri.
Mwenzenu anafukuzia karatasi mnaanza kumletea za kuleta lol!!
Ha si mtu mzima huyo jamani tatizo alipokuwa mtoto alikuwa geti kali na sasa ndio anaanza mapenzi ukubwani mwacheni aji enjoy na hogo la jang'ombe jamani huyo si mtoto alitakiwa keshaolewa na angekuwa na watoto
Alishawahi kulalamika kwamba anaishi maisha ya shida huko aliko? Kama hajawahi sioni haja ya kuingilia maisha ya mtu mzima......sio kwamba wanaishi maisha ya shida hapa bongo.
Alishawahi kulalamika kwamba anaishi maisha ya shida huko aliko? Kama hajawahi sioni haja ya kuingilia maisha ya mtu mzima......
Nadhani tatizo hapa ni mtu kuangalia maisha ya wengine kwa nje (juu juu) halafu unafikia uamuzi kwamba anapata shida.
Kuna kisa cha jamaa mmoja alimtoa dada yake kwa mme kwa sababu aliona dadake anapata shida kwa jamaa.....alikaa na yule dada yake kwa muda mfupi tu ikabidi amwambie arudi kwa mme wake. Kisa? Dada alianza kuleta wanaume nyumbani kwa kaka yake.
Kuna demu mmoja wa kigogo sijui kikuni, alishawahi kuni-mislead sana huko siku za awali na kunifanya niamini vitu vingi ambavyo havikuwa true, I'M OVER IT NOW NWAYS (msikabe koo)..kama ni yeye it serves her right, ndo ajue ulimwengu ni duara.