Rafiki wa Girlfriend Wangu Haeleweki - Marekani

jitu1

Senior Member
Dec 28, 2009
162
27
Nimepata ujumbe kutoka Girlfriend wangu huko Ughaibuni anaomba ushauri. Yeye ana rafiki yake mmoja (Mtoto wa waziri) anaishi na boyfriend mmarekani mweusi ambaye ni loser fulani hivi. He does odd jobs, ni ex felon (was imprisoned for like a month and put on supervised release 5 years; restitution of $15,000 due to embezzlement of funds by bank employee Aiding and Abatting). She takes care of him monetary wise/entertainment etc. Huyo binti ana elimu nzuri tu anafanya kazi ya kawaida. Wanaishi in a not so good neighborhood in a not so good apartment.

Swali lake ni hili...amshauri vipi rafiki yake (bila ku hurt her feelings)aachane na huyo bwana ambaye ni kama anamtawala sana. Uwezo wa kurudi bongo anao, baba yake ni waziri, sio kwamba wanaishi maisha ya shida hapa bongo.

Your comments are wellcome please
 
Heri uambiwe ukweli uumao kuliko utani uchekeshao.
Amwambie tu wazi na bayana..
Ikiwezekana awashirikishe ndugu zake pia,
sidhani kama muheshimiwa waziri akijua binti yake anaishi maisha ya hovyo kama atafurahi...
 
huenda huyo jamaa anaeitwa "looser" ni "fundi".
kama hali ndio hiyo itabidi binti waziri apewe shule kwanza
kuhusu uwezekano wa yeye kupata "fundi" mwengine.

hata hivyo je binti waziri ana umri gani?
 
Huyo demu ni over 18?

Kama ni over 18 kwa nini mnamuingilia maisha yake? Mnajua huyo bwana anampa nini?
 
Inasemekana huyo binti yuko kwenye mid 30's
Ha si mtu mzima huyo jamani tatizo alipokuwa mtoto alikuwa geti kali na sasa ndio anaanza mapenzi ukubwani mwacheni aji enjoy na hogo la jang'ombe jamani huyo si mtoto alitakiwa keshaolewa na angekuwa na watoto
 
Nimepata ujumbe kutoka Girlfriend wangu huko Ughaibuni anaomba ushauri. Yeye ana rafiki yake mmoja (Mtoto wa waziri) anaishi na boyfriend mmarekani mweusi ambaye ni loser fulani hivi. He does odd jobs, ni ex felon (was imprisoned for like a month and put on supervised release 5 years; restitution of $15,000 due to embezzlement of funds by bank employee Aiding and Abatting). She takes care of him monetary wise/entertainment etc. Huyo binti ana elimu nzuri tu anafanya kazi ya kawaida. Wanaishi in a not so good neighborhood in a not so good apartment.

Swali lake ni hili...amshauri vipi rafiki yake (bila ku hurt her feelings)aachane na huyo bwana ambaye ni kama anamtawala sana. Uwezo wa kurudi bongo anao, baba yake ni waziri, sio kwamba wanaishi maisha ya shida hapa bongo.

Your comments are wellcome please

Mimi hapa wabongo ndo waga wananiboa....kwanini mnapenda ingilia private life ya watu wazima na akili zao....we wafikiri huyo binti hana akili timamu ya kutambua anachokifanya.....leave her alone..so nyie mwafahamu why anapenda na yupo na huyo mnaemwita looser????....so long as sijaona popote pale kwamba jamaa anamfunza binti kuvuta unga au ulevi wa kupindukia...otherwise hamna sababu ya msingi ya kumtaka huyo binti aachane na mpenzi wake......cha zaidi mkuu ukisikiliza sana stori za watoto wa kike utakuja juta the end of the day.. maana watakupoteza kwenye kona na 120 speed.
 
nikweli bro wabongo wana soo kwelikwelikweli,huyo demu yuko state amemtumia ujumbe anamuomba ushauri jamaa yake yuko bongo kama si umbea ninini!hapo ndo utashaa sijui ni ili aonekane yeye mtiifu au vipi,kesho jamaa apate ujumbe demu wake mtu wa kuuza kwenye makasino atafanyaje?achaneni na maisha ya watu huyo demu mwenyewe mnasema yuko mid 30s tayari umri huo kajichokea eti ooh arudi bongo baba ake waziri,mambo ya kizamani hayo,amwambie huyo demu wake akae kimya maana ampe ushauri rafiki yake amuache msela then rafiki yake akaenda msimulia jamaa yake lazima kitawaka na hao black american thugs hawachelewi kumpa mtu shaba au kisu cha tumbo,kesho tunasikia mtanzania auwawa U.S.A.nyie pelekene mambo yenu ya manzese nchi za watu.
 
Wan JF, wabongo wengi wakiwa Ughaibuni huwa ndiyo zao, si semi huyo binti ni mjinga ila huwa wanafanya hivyo ili kupata uraia wa huko majuu. Baada ya muda itabidi wafunge ndoa then wanaachana tayari wkati huo binti wa kibongo kashapata uraia wa Marekani na anakuwa na haki zote bila bughuda. Kwa hiyo huyo binti ni mjanja maana analenga kupata makazi huko majuu na ndiyo lengo lake tofauti na jinsi mwenzake anavyomfikiri.
 
Halafu wabongo kwa kuotea otea tu,

Mtu hamumjui tayari mshambambikia issue ya makaratasi. Mi najua wabongo ambao wana mademu/mabwana Wamarekani bila ya kuwa na shida ya makaratasi.

Tuacheni hizi za kufanyana kama kila mtu ana shida ya makaratasi, wengine kuchukua makaratasi ni kashfa kwa principles zao na sense zao za patriotism.

Mchizi wangu mmoja karudi bongo juzi, kawarudishia green card yao.Kwa hiyo tusifanyane kwamba kila mtu yuko desperate na makaratasi kabla hata ya kujua issues za hii case.Kama wewe una shida ya makaratasi si kila mtu ana shida hiyo.Wengine magamba yao ya bongo meusi, Marekani watayapata wapi hayo?
 
Kuna demu mmoja wa kigogo sijui kikuni, alishawahi kuni-mislead sana huko siku za awali na kunifanya niamini vitu vingi ambavyo havikuwa true, I'M OVER IT NOW NWAYS (msikabe koo)..kama ni yeye it serves her right, ndo ajue ulimwengu ni duara.
 
Wan JF, wabongo wengi wakiwa Ughaibuni huwa ndiyo zao, si semi huyo binti ni mjinga ila huwa wanafanya hivyo ili kupata uraia wa huko majuu. Baada ya muda itabidi wafunge ndoa then wanaachana tayari wkati huo binti wa kibongo kashapata uraia wa Marekani na anakuwa na haki zote bila bughuda. Kwa hiyo huyo binti ni mjanja maana analenga kupata makazi huko majuu na ndiyo lengo lake tofauti na jinsi mwenzake anavyomfikiri.

Mwenzenu anafukuzia karatasi mnaanza kumletea za kuleta lol!!

Ha si mtu mzima huyo jamani tatizo alipokuwa mtoto alikuwa geti kali na sasa ndio anaanza mapenzi ukubwani mwacheni aji enjoy na hogo la jang'ombe jamani huyo si mtoto alitakiwa keshaolewa na angekuwa na watoto

hizi ni kali ila ni vyema kama angeamua mwenyewe (30s)....
 
sio kwamba wanaishi maisha ya shida hapa bongo.
Alishawahi kulalamika kwamba anaishi maisha ya shida huko aliko? Kama hajawahi sioni haja ya kuingilia maisha ya mtu mzima......
Nadhani tatizo hapa ni mtu kuangalia maisha ya wengine kwa nje (juu juu) halafu unafikia uamuzi kwamba anapata shida.

Kuna kisa cha jamaa mmoja alimtoa dada yake kwa mme kwa sababu aliona dadake anapata shida kwa jamaa.....alikaa na yule dada yake kwa muda mfupi tu ikabidi amwambie arudi kwa mme wake. Kisa? Dada alianza kuleta wanaume nyumbani kwa kaka yake.
 
In a not so good neighbourhood and in a not so good apartement(1?)...That is very subjective. Wao pengine wameridhika na hapo wanapoishi.
 
Alishawahi kulalamika kwamba anaishi maisha ya shida huko aliko? Kama hajawahi sioni haja ya kuingilia maisha ya mtu mzima......
Nadhani tatizo hapa ni mtu kuangalia maisha ya wengine kwa nje (juu juu) halafu unafikia uamuzi kwamba anapata shida.

Kuna kisa cha jamaa mmoja alimtoa dada yake kwa mme kwa sababu aliona dadake anapata shida kwa jamaa.....alikaa na yule dada yake kwa muda mfupi tu ikabidi amwambie arudi kwa mme wake. Kisa? Dada alianza kuleta wanaume nyumbani kwa kaka yake.

Exactly my sentiments!
 
Huyo dada lengo lake kuu ni kupata paper subilini apate paper muone kama ataendelea na huyo looser
 
Nashukuru sana kwa maoni yenu wana JF....mengine ilibidi nife mbavu. But nimemwambia girlfriend wangu aachane na mambo ya kushauri mahusiano ya watu wengine..mwisho wa siku yeye ndio ataonekana mbaya. You just don't know whats happening behind closed doors. Ingawa anadai eti ooo alimuoa kwa makaratasi lakini sasa anashindwa kumtoa bomba kwasababu jamaa haelewi.

Nikamuambia jibu ushalipata....just mind your own business...kila mtu na life yake
 
Kuna demu mmoja wa kigogo sijui kikuni, alishawahi kuni-mislead sana huko siku za awali na kunifanya niamini vitu vingi ambavyo havikuwa true, I'M OVER IT NOW NWAYS (msikabe koo)..kama ni yeye it serves her right, ndo ajue ulimwengu ni duara.

Mkuu unazungumza kwa hisia sana, alikufanya nini, tujuze tupate fundisho!
 
Back
Top Bottom