Sasa na wewe unafanya nini?! Umeharibu mambo yote.Ha ha ha kazi kufatilia mipango ya watu, tulishindwana hana assets ndani ana stuli mbili tu
ka unaenda mzoezini mie nifanyaje
Um beep wii!
Leo uko slow mbona?
Nitakufahamisha kwa PM, hapa naona tutasababisha ugomvi mkubwa si unamjua Evelyn Salt mtata sana 🙂
Ha ha ha kazi kufatilia mipango ya watu, tulishindwana hana assets ndani ana stuli mbili tu
Anajua umeonyesha interest na akitoka huko ataanza kukuuliza umeshakula baby
Um beep wii!
Leo uko slow mbona?
KUNA WATU WANAJUA NAFANYA UTANI WANA beeb,NAWAPIGIA HAWAPOKEI,JAMAN KAMA UPO KI MASIHALA PLZ USIJARIBU
KUNA WATU WANAJUA NAFANYA UTANI WANA beeb,NAWAPIGIA HAWAPOKEI,JAMAN KAMA UPO KI MASIHALA PLZ USIJARIBU
la la kheri katika kutafuta
eeeeeeeeeeeh Evelyn nani uyoo mm au?
eve nani huyo
piga tenaa
Si umetaka kujua....Sasa na wewe unafanya nini?! Umeharibu mambo yote.
Ulitakiwa umtunzie siri mwenzio, wewe unamwanika,ndo maana hamudumu kwenye ndoa siku hizi, mambo kama hayo
Sio wewe mchumba....
Ha ha ha shemeji ako....eve nani huyo